Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Uzalendo kwanza.Mkitoka mpilani nendeni nao Cape Verde.Mkuu muda bado.. Mechi inaanza saa 11.. Mda huu nipo Kariakoo natafuta jezi ya Cape Verde.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzalendo kwanza.Mkitoka mpilani nendeni nao Cape Verde.Mkuu muda bado.. Mechi inaanza saa 11.. Mda huu nipo Kariakoo natafuta jezi ya Cape Verde.
Ondoa neno "lazima" kwa mpira upi tulionao!!Ikumbukwe tunafuzu huku tukiwa na mechi 2 mkononi.. Dhidi ya Lesotho ambayo lazima tuwafunge.. Na 'wenzetu' Uganda ambao hawa tutadroo nao.
Hata na wa Mbao pia wamoMkuu.. Kwa mara ya kwanza, Cape Verde imetuunganisha mashabiki wa soka nchini. Mashabiki wa Simba tumo, Yanga wamo na hata mashabiki wa timu ya Alex Kitenge, Stand United wamo.. lengo letu kuu ni 1 tu.. Kuunga juhudi wanazozifanya timu ya Cape Verde.
Mkuu baada ya kushinda leo.. Sisi (Cape Verde) tutakua na pointi 7 huku nyinyi mkibakiwa na pointi zenu 2. Hapo zimebakia mechi 2, ambapo tukishinda mechi 1 tu, hamtukamati.kwa hesabu za kwenye karatasi tu mnaziweza ,zile za mala tukimfunga huyu hapa tukaenda kwao tukatoa sale,harafu uganda akimfunga lesotho,nasi tukamfunga uganda cameroon ilee!!!mpira ni matokeo uwanjani na sio hesabu za probabity tu kila siku!!!
Mkuu hiyo lazima ni kwa sisi Cape Verde.. Kwani nawe ni mshabiki wa Cape Verde?Ondoa neno "lazima" kwa mpira upi tulionao!!
Mkuu usijali kuhusu hilo.. Mda huu nipo jukwaani na Miss Cape Verde ananipa story za hapa na pale kuhusu jiji la Praia.Uzalendo kwanza.Mkitoka mpilani nendeni nao Cape Verde.
cc Sibonike kyata Hajar Frank Wanjiru Prince Kunta Guasa Amboni na wenzaoYanga tusaidieni kama yale mliyofanya mechi na simba tupate walau sare.
Naanza kutokuwaamini wataalamu wa tunguli!Wangekuwa hawatumii ndumba ningekuwa fan wao
nan kapewa penat mkuuPenatiiiiiii hahaha
Tanzania na tumekosanan kapewa penat mkuu