Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Hahahahahaaa [emoji3][emoji3][emoji38][emoji3][emoji38][emoji3]
Nawacheka kwa dharau mashabiki wa cape verde
Yaani hawa wajinga wanaoshabikia Cape Verde dah! Unaikana nchi yako kwa sababu za ajabu. Dah! Ningekuwa Magu wangesimama wima siku 6 mfululizo.
 
Kwenye vilabu vyenu mme ungana mara ngapu lakin matokeo bado mabovu? Mtu una shabikia Liverpool na arsenal na una vumilia lakin eti taifa lako una shindwa kuvumilia na kuli support
Usifananishe Arsenal na vitu vya hovyo, we vipi bwana?
 
Kwenye huu uzi wa tunaoshangilia Cape Verde hawa mashabiki wa Shithole Country wametoka wapi? kafungueni uzi wenu mkashangilie huko eboo
 
Back
Top Bottom