Wale tunaotumia akaunti zaidi ya moja tukutane hapa

Wale tunaotumia akaunti zaidi ya moja tukutane hapa

harfiz allyy

Senior Member
Joined
Sep 28, 2023
Posts
157
Reaction score
248
Inakuwa ngumusana kuzikontroo.

Mana inahitaji muda uongo mwingi kutosahau kumbukukumbu nk

Nilitongoza demu na akaunti tofauti akaomba picha nikampa tukazinguana kwenyehela anapenda sana hela nikamblock

Nikamfata kwa akaunti nyingine kakubali freshi tuu alivyo niomba picha nikaachana nae mana ananijua
 
Mimi huwaga natetea sana ujinga humu, ila huu ujinga sitetei ni wakizamani. Nasubiri wataokuja kusema wanafanya ushamba huo.
zamani ulikuwa unafanya hivi mkuu?hata Mimi nilikuwa nafanya zamani sio Sasa

haya nawewe leta ushuhuda mkuu
 
Back
Top Bottom