Wale tunaotumia akaunti zaidi ya moja tukutane hapa

Wale tunaotumia akaunti zaidi ya moja tukutane hapa

inakuwa ngumusana kuzikontroo.
mana inahitaji muda uongo mwingi kutosahau kumbukukumbu nk

nilitongoza demu na akaunti tofauti akaomba picha nikampa tukazinguana kwenyehela anapenda sana hela nikamblock

nikamfata Kwa akaunti nyingine kakubali freshi tuu alivyo niomba picha nikaachana nae mana ananijua
Unamaanisha Account za bank mkuu?
 
zamani ulikuwa unafanya hivi mkuu?hata Mimi nilikuwa nafanya zamani sio Sasa

haya nawewe leta ushuhuda mkuu
Basi rekebisha thread yako. Maana itakosa wachangiaji. Miaka zaidi ya kumi watu waliacha hayo mambo.
Actually mimi, nilishakua na mahusiano na binti flani miaka hyo, facebook ya moto. Nikatengeneza account nyingine kwaajili tu ya kujisifia kwa yule binti.

Yaani najichatisha kama rafiki yangu, namwambia binti, usimuache jamaa, anakupenda kichizi. Yaani jamaa kafa kaoza. Yule binti ananipenda mpaka leo, kaolewa saiv, nilifanikiwa kumtoa usichana, nikalw sana hela zake kutoka advance mpaka chuo kikuu, yaani inshort ilitunza sana heshima yangu. Nadhani alikua akijua anaongea na mtu wa maana sana kwangu. Asante.
 
Mtoa mada umejidhihilisha huna hela na hauna mpango wa kumilik pesa
 
Inakuwa ngumusana kuzikontroo.

Mana inahitaji muda uongo mwingi kutosahau kumbukukumbu nk

Nilitongoza demu na akaunti tofauti akaomba picha nikampa tukazinguana kwenyehela anapenda sana hela nikamblock

Nikamfata kwa akaunti nyingine kakubali freshi tuu alivyo niomba picha nikaachana nae mana ananijua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],mnavituko
 
Back
Top Bottom