Wale tunaotumia akaunti zaidi ya moja tukutane hapa

We unafikiri mimi nimefikishaje hiz 6?
Yan mi sioendagi kuwakatisha tamaa watu wa sales wa ma benk.Wakinishawishi kufungua akaunt wala sina hiyana, nafungua tu! ๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,, hujawahi kufikiria kutoa ile hela ya kufungulia kama ingekua inatoka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™ˆ
 
ngoja waje
Kweli wewe ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ