Wale tunaotumia akaunti zaidi ya moja tukutane hapa

Unamaanisha Account za bank mkuu?
 
zamani ulikuwa unafanya hivi mkuu?hata Mimi nilikuwa nafanya zamani sio Sasa

haya nawewe leta ushuhuda mkuu
Basi rekebisha thread yako. Maana itakosa wachangiaji. Miaka zaidi ya kumi watu waliacha hayo mambo.
Actually mimi, nilishakua na mahusiano na binti flani miaka hyo, facebook ya moto. Nikatengeneza account nyingine kwaajili tu ya kujisifia kwa yule binti.

Yaani najichatisha kama rafiki yangu, namwambia binti, usimuache jamaa, anakupenda kichizi. Yaani jamaa kafa kaoza. Yule binti ananipenda mpaka leo, kaolewa saiv, nilifanikiwa kumtoa usichana, nikalw sana hela zake kutoka advance mpaka chuo kikuu, yaani inshort ilitunza sana heshima yangu. Nadhani alikua akijua anaongea na mtu wa maana sana kwangu. Asante.
 
Mtoa mada umejidhihilisha huna hela na hauna mpango wa kumilik pesa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],mnavituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…