Wale tunaounga mkono 'Mafanikio ya Serikali' tufahamiane.....!

Nani rais ajae baada ya Samia kumalizza muda wake
 
Watu wamepigwa na maisha unawaambia waseme halla serikali??

Afadhali tu umepost hapa JF maana ingekua mtaani wangekupiga mawe.
 
Labda mtaa wa hapo mchambawima.

Ila unabahati upo mbali maana ningekupiga kofi upate akili.
Kuna watu wengine hawajui maisha yanavyoenda mtaani kabisa yaani hali ni mbaya kuliko maelezo ni kwa sababu tu kibongo bongo binadam wamejaliwa uvumilivu mkubwa
 
Watanzania wanapaswa wapewe tuzo ya uvumilivu.

Maana kinachofanyika hapa na huyu mleta mada ni kama dhihaka kwao.
 
Kuna watu wengine hawajui maisha yanavyoenda mtaani kabisa yaani hali ni mbaya kuliko maelezo ni kwa sababu tu kibongo bongo binadam wamejaliwa uvumilivu mkubwa
Miaka yote maisha ni magumu. Kila siku maisha ya binadamu ni magumu. Ni nature. Lkn sisi tunazungumzia mafanikio ya serikali katika kukabiliana na hali mbaya ya wananchi
 
Basi imefanikiwa kuongeza gharama za maisha kwa wananchi.

Hayo ndio mafanikio mpaka sasa yanayoonekana dhahiri.
 
Hapana. Hayo sio mafanikio. Lakini inajitahidi kupambana na hili la gharama za maisha. Kwa mfano, wameongeza mishahara. Na bado mikakati mingi ipo site. Ila pia, kumbuka maisha sio tambarare kuna kupanda na kushuka. Hii pia ni nature. Cha muhimu Serikali inajitahidi kupambana sana. Hili tusibeze!
 
Hii ni awamu ambayo kila raia ana fursa ya kufanikiwa kulingana na juhudi zake.Ukikaa kijiweni na mitandaoni kulalamika utafaidika na malalamishi yako,Ukiamua kupiga kazi kujiongezea kiuchumi hakika utaimarika kiuchumi.

HALLA SERIKALI!
 
Halla. Tupo pamoja sana!
 
Mafanikio ya serikali mafuta 3,000+
Sabuni kipande Cha 5,00 Sasa hivi 600,
ugali wa 1,000 Sasa hivi 1,500.
Alafu mbaya zaidi wale waliotakiwa kuisema serikali na wao wameunga JUHUDI Kama hawaoni vile
 
Hapana. Hayo sio mafanikio. Lakn kuna kila juhudi zinafanyika kukabiliana na hili. Hata Serikali yenyewe haipendezwi na mfumuko wa bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…