Hio ni kazi ya sanduku la kuraNani rais ajae baada ya Samia kumalizza muda wake
Hawa waliopo humu hawapo mtaani?Watu wamepigwa na maisha unawaambia waseme halla serikali??
Afadhali tu umepost hapa JF maana ingekua mtaani wangekupiga mawe.
Hawana nafasi ya kukipiga mawe tu ila kajaribu mtaani uone kama hawajakushughulikia.Hawa waliopo humu hawapo mtaani?
Mbona mtaani wala hawana nongwa, wanaelewa sanaHawana nafasi ya kukipiga mawe tu ila kajaribu mtaani uone kama hawajakushughulikia.
Labda mtaa wa hapo mchambawima.Mbona mtaani wala hawana nongwa, wanaelewa sana
Duuuu kwani huoni mafanikio ya serikali?Labda mtaa wa hapo mchambawima.
Ila unabahati upo mbali maana ningekupiga kofi upate akili.
Kuna watu wengine hawajui maisha yanavyoenda mtaani kabisa yaani hali ni mbaya kuliko maelezo ni kwa sababu tu kibongo bongo binadam wamejaliwa uvumilivu mkubwaLabda mtaa wa hapo mchambawima.
Ila unabahati upo mbali maana ningekupiga kofi upate akili.
Watanzania wanapaswa wapewe tuzo ya uvumilivu.Kuna watu wengine hawajui maisha yanavyoenda mtaani kabisa yaani hali ni mbaya kuliko maelezo ni kwa sababu tu kibongo bongo binadam wamejaliwa uvumilivu mkubwa
Miaka yote maisha ni magumu. Kila siku maisha ya binadamu ni magumu. Ni nature. Lkn sisi tunazungumzia mafanikio ya serikali katika kukabiliana na hali mbaya ya wananchiKuna watu wengine hawajui maisha yanavyoenda mtaani kabisa yaani hali ni mbaya kuliko maelezo ni kwa sababu tu kibongo bongo binadam wamejaliwa uvumilivu mkubwa
Kwa mfano ww ulitaka Serikali ifanyaje zaidi?Watanzania wanapaswa wapewe tuzo ya uvumilivu.
Maana kinachofanyika hapa na huyu mleta mada ni kama dhihaka kwao.
Basi imefanikiwa kuongeza gharama za maisha kwa wananchi.Miaka yote maisha ni magumu. Kila siku maisha ya binadamu ni magumu. Ni nature. Lkn sisi tunazungumzia mafanikio ya serikali katika kukabiliana na hali mbaya ya wananchi
Hapana. Hayo sio mafanikio. Lakini inajitahidi kupambana na hili la gharama za maisha. Kwa mfano, wameongeza mishahara. Na bado mikakati mingi ipo site. Ila pia, kumbuka maisha sio tambarare kuna kupanda na kushuka. Hii pia ni nature. Cha muhimu Serikali inajitahidi kupambana sana. Hili tusibeze!Basi imefanikiwa kuongeza gharama za maisha kwa wananchi.
Hayo ndio mafanikio mpaka sasa yanayoonekana dhahiri.
Halla. Tupo pamoja sana!Hii ni awamu ambayo kila raia ana fursa ya kufanikiwa kulingana na juhudi zake.Ukikaa kijiweni na mitandaoni kulalamika utafaidika na malalamishi yako,Ukiamua kupiga kazi kujiongezea kiuchumi hakika utaimarika kiuchumi.
HALLA SERIKALI!
Hapana. Hayo sio mafanikio. Lakn kuna kila juhudi zinafanyika kukabiliana na hili. Hata Serikali yenyewe haipendezwi na mfumuko wa beiMafanikio ya serikali mafuta 3,000+
Sabuni kipande Cha 5,00 Sasa hivi 600,
ugali wa 1,000 Sasa hivi 1,500.
Alafu mbaya zaidi wale waliotakiwa kuisema serikali na wao wameunga JUHUDI Kama hawaoni vile