figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #41
Asante, ulijipost nusu. Sasa upo vizuri. Naomba Ushauri.Unakimbilia wapi boss mbona kama ulikuwa hujamaliza kuandika Uzi wako?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, ulijipost nusu. Sasa upo vizuri. Naomba Ushauri.Unakimbilia wapi boss mbona kama ulikuwa hujamaliza kuandika Uzi wako?!
Kumbe kuna uwezekano wa kununua Barakoa chafu? Itabidi nihame duka.
Asante kwa ushauri mzuri. Una akili nyingi hapa jukwaani unaongoza.Sio lazima kuvaa kama inakupa mateso. Unaweza ukanywa sanitizer au kujipaka puani na mdomoni
Kubaki nyumbani nafuu. Halafu ukivaa Barakoa unakuwa kama Mgonjwa wa COVID-19.Chagua kubaki nyumbani au funika mdomo na pua lipi unaloweza kati ya haya.
Asante kwa ushauri mzuri. Una akili nyingi hapa jukwaani unaongoza.
Si linanuka kama dekio la caroBarakoa za ndani za vitambaa inafuliwa toka October 2019 ilianza corona bado mhusika anaitumia.
Kuna mwanangu alikua anakubali sana mo na alikua role model wake, na jamaa alikua hamkubali mondi balaa. Sasa ile mo kaenda studio za wasafi na kuanza kucheza singeli jamaa alimshusha vyeo vyote😁😁.Juzi Mo Dewji anaulizia namna ya 'kumetchisha' barakoa na nguo ili tu apendeze…. tajiri jinga kabisa.
Mdomoni barakoa chini condomSalaam wakuu,
Huu Ugonjwa wa Corona umekuja na mengi ikiwemo kuvaa Barakoa kuziba mdomo na Pua ili ili majimaji ya Korona yasikupate au hata kama na wewe una Corona usiweke kuambukiza wengine pale unapo piga chafya.
Ila mimi nikiivaa naona ni Mateso makubwa. Wenzangu mnawezaje kuvaa Barakoa asubuhi hadi jioni?
Mimi nikivaa Barakoa muda mrefu, kichwa kinaniuma, nasikia kizunguzungu, macho yanakua hayaoni vizuri, na saa nyingine najisikia homa pae nivaapo Barakoa kuliko siku ambazo Sivai.
Imefika kipindi hata kuvaa najishauri naiweka mfukoni tu. Tena bora ya Kitambaa hizi za kushona, lakini nikivaa vile Special ndo najisikia kufa kabisa.
Nimekuja hapa kuuliza kama ni mimi tu au kila mtu anajisikia kama mimi? Kama vipi tushinikize Shirika la Viwango Tanzania Bureau of Standards (TBS) lifanyie uchunguzi hizi barakoa Zilizoingia Nchini. Naamini hazina viwango. Sababu ukiwa umeivaa ukipumua hewa haitoki nje, ukivuta unavuta hiyo hiyo. Nahofia Barakoa zinaweza niletea maradhi hivyo nina panga kufanya kinyume labda nishauriwe namna nzuri ya kuvaa.
Tangu nianze kuvaa Barakoa Macho yangu yamekua mekundu kama navuta Kaya. Ni mateso kwa kweli, Mungu tuokoe.
Nakosa uhuru wa kuvuta hewa safi. Pumzi ninayo ivuta hainitoshi. Kama nilikua navuta pumzi ya kujaza lita moja, sasa navuta kikombe kimoja tu nikiwa nimevaa Barakoa aka Mask
Leo nmeona idadi ndogo ya watu walovaa Barakoa, nahisi wamekiona cha moto.
Waziri wa Afya alikataza tusivae Barakoa namba N95 sababu ni chache na tuwaachie wahudumu wa afya. Kwakuwa hili swala linahusu uhai, imebidi nitafute hizi kwani nahisi zitakuwa na ubora zaidi.
View attachment 1431952
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio lazima kuvaa kama inakupa mateso. Unaweza ukanywa sanitizer au kujipaka puani na mdomoni
lkn kuna wengine wanauza sura![emoji1787]
hivi inawezekanaje unauza nyago mbele ya kifo? hivi unawezaje kuhatarisha uhai wako kwa kisingizio cha kukosa hewa?
hivi kweli ndugu zangu watanzania hayo ni maarifa au?!!
Sent using Jamii Forums mobile app