Wale tunaowasha friji kwa masaa tujuane hapa

lelulelu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
444
Reaction score
400
Wale wenzngu na mimi tunaowasha friji kwa masaa kadhaa na samaki na nyama wakiganda tunazima mpaka siku ya pili mupo?

Nafanya hivi kuepusha gharama za units kwenda kama nyumbu bora tupunguze makali mana hapa mjini maisha kuungaunga aisee.

Kuna wadau wanawasha masaa 24 hawa wana vitu vingi na mapochopocho sisi pangu pakavu tia mchuzi tunawasha asubuhi mpaka saa saba nyama na samaki wakiganda tunali off mpaka kesho asubuhi.

Wewe unatumia njia gani kusave units?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
friji za kuanzia mwaka 2016 na kuja juu zenye inverterd Compresor azili umeme kabisa, watanzania wengi tunatumia used friji zenye zaidi ya miaka 10 toka UK na hizi zenye compresor za kawaida n.k hizi zinakula sana umeme, bora ununue friji kwa 1Millions na utumie units 200 mwaka mzima kuliko nunua friji laki tatu mpaka sita na kutumia umeme units 12000 kwa mwaka. baada ya hii misuko suko ya corona tutaanza uza convertion kits za inverted compresors kwa wenye friji mitumba na hizi zenye compresors za kawaida! na sio friji ata wenye magest houz wanapata garama sana kulipia AC zinazobugia units za luku kama ngombe mwenye kiu ya maji
 
Dah mimi nilinunua mtumba kwa 230K niliagiza sehemu tokea mwaka 2016 mpwka leo inaoiga mzigo ila kuna time huwa inalia na kujizima then inajiwasha tena na mchskato ni huo huo...
Wakati unanunua unasoma specification za fridge mm natumia samsung subiri nitakusomea inakula unit ngapi kwa mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
e runners up in refrigerator energy efficiency are GE's GTH17 and GTK17 model series. Both of these Energy Star refrigerator models have 16.5 cubic feet of storage space and a top-mounted freezer. They use 324 kilowatt hours per year, which is 30 percent below the federal NAECA standard.
 
Subiri muwekwe kwenye lockdown. Mtawasha 24/7 bila kupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…