lelulelu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 444
- 400
Wale wenzngu na mimi tunaowasha friji kwa masaa kadhaa na samaki na nyama wakiganda tunazima mpaka siku ya pili mupo?
Nafanya hivi kuepusha gharama za units kwenda kama nyumbu bora tupunguze makali mana hapa mjini maisha kuungaunga aisee.
Kuna wadau wanawasha masaa 24 hawa wana vitu vingi na mapochopocho sisi pangu pakavu tia mchuzi tunawasha asubuhi mpaka saa saba nyama na samaki wakiganda tunali off mpaka kesho asubuhi.
Wewe unatumia njia gani kusave units?
Sent using Jamii Forums mobile app