Wale tunaowasha friji kwa masaa tujuane hapa

Mazaga zaga tu ndugu, mboga mboga na viporo, na kipindi hicho ilikua kama fashion kuwa na friji kama ilivyokua tv... Lile friji bado linapiga kazi mpaka leo ingawa limechoka kimuonekano
Siku hizi fashion imeingia kwenye kuwa na babywalker
 
Mimi Friji,friza zote zinawaka 24 hrs/366days.
Watu hawajui kua ukiiwasha fridge bila kuizima ndo inatakiwa na ndio inasave energy na itadumu pia, but kuiwasha na kuzima kila wakati ni kuiharibu fridge na haiwezi kudumu na unaua fridge na ndipo inapokula umeme sana kila ukiiwasha tena na tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuiharibu kwa kuzima na kuwasha?; Sio kweli. Muda mrefu nilikuwa sipiki kwahio friji inajaa maji,juices,jam,butter etc hamna msosi wa kupika. Nilikuwa nazima friji asubuhi nawasha usiku nikirudi Hadi asubuhi tena.
Likiwaka hadi asubuhi nikizima hadi jioni nakuta drinks zote za baridi hasa simply because hamna anaefungua mlango.
Sasa hivi naliwasha masaa 24 natumia umeme zaidi ya nilivyokuwa nazima.
 
RRONDO naomba unisaide hapa,,langu nimetoa kila kitu maana nilikuwa naona umeme unakata tu sasa limebaki kama kabatiπŸ˜…πŸ˜…

Washa zima haiwezi kuharibu fridge??maan wakati mwingine huwa nakaa mpaka siku tatu hadi nne.😁😁
 
Kama halina kitu lizime. Kuzima na kuwasha hakuharibu friji.
 
Hongereni mkuu, mwaka 98 mnamiliki friji.....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
How old are you?!! '98?!! mtaa wa Uhuru Kariakoo umejaa hayo mazagazaga mwanzo mwisho way before '98. Jamani hatuko nyuma kiasi hiki.
 
How old are you?!! '98?!! mtaa wa Uhuru Kariakoo umejaa hayo mazagazaga mwanzo mwisho way before '98. Jamani hatuko nyuma kiasi hiki.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…