winlicious
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,006
- 1,151
Mazaga zaga tu ndugu, mboga mboga na viporo, na kipindi hicho ilikua kama fashion kuwa na friji kama ilivyokua tv... Lile friji bado linapiga kazi mpaka leo ingawa limechoka kimuonekanoMwaka 1998 mlikuwa mnaweka nini humo kwenye friji??