Wale tunaowasha friji kwa masaa tujuane hapa

Wale tunaowasha friji kwa masaa tujuane hapa

Mm nawasha saa1800pm mpaka 0800am natumia unit 1 ikiwaka 24hrs inatumia unit1 na kidogo
Ukiandika kwa mtindo wa masaa 24 usiweke pm au am, hizo zinatumika kwa mtindo wa masaa 12. Kwa mfano ungeandika tu 1800, hiyo ni saa 12 jioni ambayo ni sawa na 6:00 pm. Ndio maana kuna mdau kakunanga hapo juu badala ya kukueleza tu kiungwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
friji za kuanzia mwaka 2016 na kuja juu zenye inverterd Compresor azili umeme kabisa, watanzania wengi tunatumia used friji zenye zaidi ya miaka 10 toka UK na hizi zenye compresor za kawaida n.k hizi zinakula sana umeme, bora ununue friji kwa 1Millions na utumie units 200 mwaka mzima kuliko nunua friji laki tatu mpaka sita na kutumia umeme units 12000 kwa mwaka. baada ya hii misuko suko ya corona tutaanza uza convertion kits za inverted compresors kwa wenye friji mitumba na hizi zenye compresors za kawaida! na sio friji ata wenye magest houz wanapata garama sana kulipia AC zinazobugia units za luku kama ngombe mwenye kiu ya maji
ni kweli nilinunua sumsung ilikuwa inaenda vizuri na inatumia umeme vizuri lakini iliharibika fan mwaka jana fundi aliporekebisha sijui nini kilitokea liaanza kula umeme kama mashine ya kusaga nimeamua kuliacha
 
Kuna siku nimrwasha baada ya kuzima kwa masaa 12 basi ndani ya mas kama saba mpaka nane unit 2 zimekatika aisee ndo mana mimi pia sizimi friji
Swala la kuzima fridge kiukweli hapana kabisa, zima washa zima washa! Unapowasha umeme unatumika mwingi sana kuliko ukiacha liwake.. Mie sizimi ng'ooo ! Labda umeme ukatike wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati unanunua unasoma specification za fridge mm natumia samsung subiri nitakusomea inakula unit ngapi kwa mwaka
Kila kitu samsung.. mimi na tecno langu nakwama wapi kununua ile lg nayoitamani [emoji22][emoji22]
..
mimi naliwasha saa sita usiku hadi saa sita to saba mchana, hapo vinywaji vya wateja wangu havitopoa [emoji4]
 
Kila kitu samsung.. mimi na tecno langu nakwama wapi kununua ile lg nayoitamani [emoji22][emoji22]
..
mimi naliwasha saa sita usiku hadi saa sita to saba mchana, hapo vinywaji vya wateja wangu havitopoa [emoji4]
[emoji23]hahahahahaha ach utani basi na ww
 
Kadiri friji inavyopungukiwa vitu ndivyo inavyokula umeme

Jr[emoji769]
Si kweli otherwise utoe scientific justification..mm navyofaham fridge likielemewa ndo linakula zaidi umeme kwani kitakua linanguruma bila kupumzika
 
Tangu nimehamia nyumba ya kushare mita ya umeme ni mwaka wa pili sasa kama sio was tatu friji haijawahi kuwaka mpaka shemeji yenu kashaamua kuinadilishia matumizi( kwa sasa anatunzia vyombo aisee). Hizi friji zingine ni mtihani tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Friji za kisasa huna haja ya kuzima, ukizima ndio inatumia umeme mwingiaama unapoiwasha itawaka kwa muda fulan kwa miendelezo ili ijaze gesi. Ukiiacha 24 hrs na hakuna fungua funga nyingi haimaliz unit in 24 hrs

Dumelang
 
Back
Top Bottom