Wale Tusiopitwa na nyimbo za Chris Brown tukutane hapa

Yaani kwenye hiyo video criss na video vixen wake wamevaa nguo 1, tu ... lakini video imekuwa bomba sio masihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ckumbuk kwa mara ya mwisho mwaka gn kuskiliza ngoma za kitoto


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nitasikiliza nyimbo zoote za chris ila Treading Water itabaki kama ngoma kali sana kwangu kutoka kwake. Dogo yuko poa napenda anavyobadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…