Wale Tusiopitwa na nyimbo za Chris Brown tukutane hapa

Wale Tusiopitwa na nyimbo za Chris Brown tukutane hapa

Mkuu ile collabo ni kali sana ndio lakini daah " hebu hebu jipe time upya usikilize mangoma yake mengine huwenda ukaja kutengua kauli " ....

Ngoma kama. fine China " wall to wall ..aahh bwana weee

Sent using Jamii Forums mobile app
this is my favourite ever....

Screenshot_20190113-101212.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Music ndo mchepuko wangu namba moja,[emoji4][emoji4]

Ngoja nikuojeshe ka list kangu kadogo tu ......

Kuna watu wanajua kuimba bana...sio studio za huku kwa mkuu wa mkoa[emoji3525][emoji3525]View attachment 993103View attachment 993104View attachment 993105View attachment 993106View attachment 993107View attachment 993108View attachment 993109

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeehh Baba shikamooo.. naona hiyo play list Yako ni konki sio mchezo ... hapo nyashinski tu ndiye kachafua gazeti ..maana ume mmix na watu ambao ni ma-genius wa music ...

Ngoja nizipakue aise

Yeaaaah...Nyashinski namkubali sana hasa hako kawimbo kake..kana beat moja tata sana ...halafu kaimba freshi huo wimbo wake ...

ila nampa masaa 72 nitakuwa nishamuondoa kwenye play track zangu[emoji4]

make naona notification hapa kuwa kuna ingizo la ngoma mpya kali toka SPINNIN RECORDS na EDM songs za Week hii...

Naona Records nyingi zimeachiwa, new songs of the week tayari toka huko majuuu...

Hahaa hiyo ngoma ya nyashinski hapo kwenye " hello wee hello wee (hello) hello wee hello wee (hello hello )

Ni hatari sana .. nipo kama wewe mkuu " nyimbo za ukanda huu wa africa mashariki magharibi huwaga sijisumbui kivile kuzi weka kwenye playlist yangu"

Na hata ikitokea kuziweka huwaga hazichukui round nazifuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom