Wale Tusiopitwa na nyimbo za Chris Brown tukutane hapa

Wale Tusiopitwa na nyimbo za Chris Brown tukutane hapa

Mkuu namkubali sana brown,ngoma nimeiona video kali,ila pia nna ushauri mzee,unaonaje lianzishwe group la entertainment special kwa ngoma kali za mastaa ulaya na africa na lihusishe wadau wa jf tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa hilo wazo lako ni zuri lakini mashaka yaliyopo " nadhani hautopata wadau wengi " kwa sababu watu wengi wa humu " huwa hawapendi ushirika wa nje ya jf ...mimi nikiwa mmoja wapo ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa umekuja ... yeah hilo goma ni matata sana ... criss alikuwa kimya hapa kati daahh kijiti wakawa wamekipokea kina jason derulo na bruno Mars basi roho ilikuwa inaniuma hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaa haaaa nipo mkuu!
Jamaa ni full package ukitaka za taratibu yupo ukitaka zile za fasta ambazo ukiwa peke yako unajikuta unashake kama jamaa [emoji23]
Kama
Zero , international love etc..huwa sizichoki aisee
 
Hahaa hilo wazo lako ni zuri lakini mashaka yaliyopo " nadhani hautopata wadau wengi " kwa sababu watu wengi wa humu " huwa hawapendi ushirika wa nje ya jf ...mimi nikiwa mmoja wapo ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah ni sahihi. Group la michezo lipo ila mnaishi kininja. Fikiri pasipo kujua kumbe upo group moja na Barbosa au Jingalao halafu ikatokea umejisahau ukalidhihaki jiwe. Unafikiri nini kinafata hapo?
 
Ha haaa haaaa nipo mkuu!
Jamaa ni full package ukitaka za taratibu yupo ukitaka zile za fasta ambazo ukiwa peke yako unajikuta unashake kama jamaa [emoji23]
Kama
Zero , international love etc..huwa sizichoki aisee
Yeaahh jamaa anachokifanya ni kuchange temple tu yeye _ ili aweze kwenda na wakati " aweze kuwapatia wale wake kile wanacho stahiki .... jamaa hata singeli ikiwa kwenye mainstream duniani anaimba " na lazima utaipenda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah ni sahihi. Group la michezo lipo ila mnaishi kininja. Fikiri pasipo kujua kumbe upo group moja na Barbosa au Jingalao halafu ikatokea umejisahau ukalidhihaki jiwe. Unafikiri nini kinafata hapo?
Dahh hivi kuna watu mnakutana kwenye ma-group ya whatsapp " ambayo yameasisiwa toka huku ...!!! Nilikuwa sijui aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom