Jamaa ni the badest ...nitasikiliza nyimbo zoote za chris ila Treading Water itabaki kama ngoma kali sana kwangu kutoka kwake. Dogo yuko poa napenda anavyobadilika
Hahaa hilo wazo lako ni zuri lakini mashaka yaliyopo " nadhani hautopata wadau wengi " kwa sababu watu wengi wa humu " huwa hawapendi ushirika wa nje ya jf ...mimi nikiwa mmoja wapo ...Mkuu namkubali sana brown,ngoma nimeiona video kali,ila pia nna ushauri mzee,unaonaje lianzishwe group la entertainment special kwa ngoma kali za mastaa ulaya na africa na lihusishe wadau wa jf tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa hilo wazo lako ni zuri lakini mashaka yaliyopo " nadhani hautopata wadau wengi " kwa sababu watu wengi wa humu " huwa hawapendi ushirika wa nje ya jf ...mimi nikiwa mmoja wapo ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa umekuja ... yeah hilo goma ni matata sana ... criss alikuwa kimya hapa kati daahh kijiti wakawa wamekipokea kina jason derulo na bruno Mars basi roho ilikuwa inaniuma hatariUndecided
Hatari sana hii kitu!
Rais wa TUCTA.Criss brown. Ndio nani jamani
Hukumbuki kusikiliza ngoma za kitoto halafu uandishi wako wa kitoto. Hopeless.Ckumbuk kwa mara ya mwisho mwaka gn kuskiliza ngoma za kitoto
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ha haaa haaaa nipo mkuu!Hahaa umekuja ... yeah hilo goma ni matata sana ... criss alikuwa kimya hapa kati daahh kijiti wakawa wamekipokea kina jason derulo na bruno Mars basi roho ilikuwa inaniuma hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah ni sahihi. Group la michezo lipo ila mnaishi kininja. Fikiri pasipo kujua kumbe upo group moja na Barbosa au Jingalao halafu ikatokea umejisahau ukalidhihaki jiwe. Unafikiri nini kinafata hapo?Hahaa hilo wazo lako ni zuri lakini mashaka yaliyopo " nadhani hautopata wadau wengi " kwa sababu watu wengi wa humu " huwa hawapendi ushirika wa nje ya jf ...mimi nikiwa mmoja wapo ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kacheze unakochezaga!Ckumbuk kwa mara ya mwisho mwaka gn kuskiliza ngoma za kitoto
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaha..safiKacheze unakochezaga!
Huu uzi maalumu kwaajili ya sisi kaka zako ebooo
Yeaahh jamaa anachokifanya ni kuchange temple tu yeye _ ili aweze kwenda na wakati " aweze kuwapatia wale wake kile wanacho stahiki .... jamaa hata singeli ikiwa kwenye mainstream duniani anaimba " na lazima utaipenda tuHa haaa haaaa nipo mkuu!
Jamaa ni full package ukitaka za taratibu yupo ukitaka zile za fasta ambazo ukiwa peke yako unajikuta unashake kama jamaa [emoji23]
Kama
Zero , international love etc..huwa sizichoki aisee
Hajielewi huyo ...hao ndio walioivamia JfHukumbuki kusikiliza ngoma za kitoto halafu uandishi wako wa kitoto. Hopeless.
Dahh hivi kuna watu mnakutana kwenye ma-group ya whatsapp " ambayo yameasisiwa toka huku ...!!! Nilikuwa sijui aiseHahah ni sahihi. Group la michezo lipo ila mnaishi kininja. Fikiri pasipo kujua kumbe upo group moja na Barbosa au Jingalao halafu ikatokea umejisahau ukalidhihaki jiwe. Unafikiri nini kinafata hapo?