Mi naamini hatakuja tena atoe ngoma Kama Ayonitasikiliza nyimbo zoote za chris ila Treading Water itabaki kama ngoma kali sana kwangu kutoka kwake. Dogo yuko poa napenda anavyobadilika
Hahaa acha basii mbona jamaa ana mangoma ya kumfa mtu ... umeshawahi kuisikia she ain't you ..na I should have kissed you ..
Yote hayo nimeyasikiliza ila ile kolabo ni not mkuuHahaa acha basii mbona jamaa ana mangoma ya kumfa mtu ... umeshawahi kuisikia she ain't you ..na I should have kissed you ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ile collabo ni kali sana ndio lakini daah " hebu hebu jipe time upya usikilize mangoma yake mengine huwenda ukaja kutengua kauli " ....
this is my favourite ever....Mkuu ile collabo ni kali sana ndio lakini daah " hebu hebu jipe time upya usikilize mangoma yake mengine huwenda ukaja kutengua kauli " ....
Ngoma kama. fine China " wall to wall ..aahh bwana weee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa.. nimefurahi sana. Kumbe na wewe nimpenzi wa music .. kweli starehe yangu sijakosea kuichagua
Music ndo mchepuko wangu namba moja,[emoji4][emoji4]Hahaa.. nimefurahi sana. Kumbe na wewe nimpenzi wa music .. kweli starehe yangu sijakosea kuichagua
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah beat lake sasa usipime hili pini ni moto.
Yeehh Baba shikamooo.. naona hiyo play list Yako ni konki sio mchezo ... hapo nyashinski tu ndiye kachafua gazeti ..maana ume mmix na watu ambao ni ma-genius wa music ...Music ndo mchepuko wangu namba moja,[emoji4][emoji4]
Ngoja nikuojeshe ka list kangu kadogo tu ......
Kuna watu wanajua kuimba bana...sio studio za huku kwa mkuu wa mkoa[emoji3525][emoji3525]View attachment 993103View attachment 993104View attachment 993105View attachment 993106View attachment 993107View attachment 993108View attachment 993109
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana ... (utasikia I need you )Daah beat lake sasa usipime hili pini ni moto.
Smart guy
Daah hicho ki back vocal acha kabisa jamaa hajawai kukosea. Kuna ile nyingine fu**ck you back to sleep naipendaga kinoma
Yeaaaah...Nyashinski namkubali sana hasa hako kawimbo kake..kana beat moja tata sana ...halafu kaimba freshi huo wimbo wake ...Yeehh Baba shikamooo.. naona hiyo play list Yako ni konki sio mchezo ... hapo nyashinski tu ndiye kachafua gazeti ..maana ume mmix na watu ambao ni ma-genius wa music ...
Ngoja nizipakue aise
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa namuelewa sana huyu mnyamparaJamaa kadondosha new joint inaitwa
Undecided ni ngoma moja matata sana "
Jamaa huwa hakosei "
Nawakaribisha " muweze kuiona video ya wimbo wake na mpate kuisikia "
View attachment 990570
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa hiyo ngoma ya nyashinski hapo kwenye " hello wee hello wee (hello) hello wee hello wee (hello hello )Yeaaaah...Nyashinski namkubali sana hasa hako kawimbo kake..kana beat moja tata sana ...halafu kaimba freshi huo wimbo wake ...
ila nampa masaa 72 nitakuwa nishamuondoa kwenye play track zangu[emoji4]
make naona notification hapa kuwa kuna ingizo la ngoma mpya kali toka SPINNIN RECORDS na EDM songs za Week hii...
Naona Records nyingi zimeachiwa, new songs of the week tayari toka huko majuuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah zipo ... huo mzigo hatari mkuuShaaabashhh bonge ya mzigo, sema qulity ndogo ngoja nitafte 4K maana sikuhizi zinapatikana
Sent using Jamii Forums mobile app
You see ..!!!!..hahaaDaah hicho ki back vocal acha kabisa jamaa hajawai kukosea. Kuna ile nyingine fu**ck you back to sleep naipendaga kinoma
Smart guy