Wale ulioona madingi wanoko wa kitaa sasa ndo wewe unaonwa.

Wale ulioona madingi wanoko wa kitaa sasa ndo wewe unaonwa.

Twin Tower

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
4,903
Reaction score
7,213
Wakuu salama?

Muda unakimbia... msemo maarufu sana.

Sasa wale madingi, kitaa ama ofisini ama church ama msikitini mliokuwa mnawaona wanoko.

Sasa huu ndo wakati wako, madogo wanakudiss unaeza wasanua.

Wapo na weww kimachale machale..

Ila tu madingi wa sasa noma sana, sio wanyonge kihivyo, mbanga kwa mbanga na GenZ.

Unakumbuka kwa madingi wa zamani?
 
Baba angu alikua mkali sana jamani, hadi alikua anaogopwa mtaani na kazini kwake.
Dooh
 
Kuzaliwa uchi, kuoa au kuolewa, kuzikwa na jeneza anyway hakuna namna ndiyo maisha yenyewe.
 
Back
Top Bottom