Wale Vipanga wa Form 4 & Six wanaokuwa kumi bora huwa wanakwenda wapi? Wangetusaidia kwenye kesi za Usuluhushi

Inaonekana una chuki nao sana baada ya wewe kupata dvn 4 nao wakapata dvn 1.
Hiyo chuki na husuda uliyobeba kifuani kwako juu ya vipanga iachilie. Utaishi kwa masononeko mpk kesho kutwa.
 
Si nasikiaga na John Mnyika ndio hao unaowazungumzia hapa.Div 1.7..
Bongo elimu hii ina tundu kubwa sanaaaa
Wenzako wanasoma, wewe upo gheto unavuta bangi na matokeo yake wao wanapata dvn 1, wewe dv 4.
Kwa masoneneko hayo unajenga chuki ya miaka mpka unaita vipanga wakusaidie ikiwa ww hauna msaada wowote kwnye nchi yako.
Hujui km kila mtu alienda kusoma kwa kitu alichopenda, mwingine sheria, udaktari, ualimu, uruban n.k na wengine wapo nje ya nchi.
Umesahau kuwa kila kitu kipo kwa kanuni na taaratibu maalumu kulingana na vyeo. Huwezi kutoka tu sehemu na kudandia mkataba ambao mwanzoni hukushirikishwa wala haupo kwenye vyeo.
Ile tabia yako ya kuvuta bangi, kutoroka shule, kupiga walimu, kuongea bila kufikiri, kuwaza pasipo kujiuliza umeenda nayo mpk ukubwani.
Ungesoma na wewe ukawa kipanga wala usingehangaika kuwaita wakusaidie
 
Niwe mkwel ..sijakuelewa.ni kama una makasiriko hiv mpaka umekuja kuni attack personally!!. Tuliza kichwa bro maisha sio magumu namna hiyo halaf sijamtusi mtu popote kama akil akil zako ziko sawa

Au umeandika hiibpost ukiwa bar muda huu kichwa kimejaa kvant??
 
Ana hisi mafanikio ni kwenda shule tu🤒🤒🤒
 
Subiria vipanga waje wakutolee maamuzi ya nchi yako ikiwa ww hauna msaada wowote. Una faida gani kwa nchi hii?
Shuleni, vipanga wakuburuze hata uraiani ndugu?
Nyie ndiyo wale limetokea jambo hapo kwenu, pembeni kuna mtoto wa mjomba wako yupo chuo, unasema. Mjomba ww umesoma, hebu suluhisha hili jambo.
 
Okay sawa.Tufanye ndio iko hivyo basi.Ila nina uhakika tukitoa certificates zetu mimi na wewe hapa hunisogelei hata kwa mbali.
 
Wewe una kinyongo na vipanga. Unataka watu wawaponde vipanga. Kwa taarifa yako vipanga wengi wako kwenye kazi nyeti zenye malisho manono. Kuna ambaye namjua yuko Huwaei mwengine yuko kwenye makampuni ya mafuta huwa anapanda ndege kama daladala. Kuhusu kesi ni kuwa kuna taratibu zake sio kuteua tu watu. Wewe ni wale watu wanaowachukia wenzao waliofanikiwa na kulalamika fulani hanisaidii.
 
Muonee huruma maana aliyokurupuka na hiyo comment ni kama Mandonga alivyolewa ngumi akamkumbatia refa ...
 
Wapo huko KLABU HAUSI wanakoroma usiku kucha kama Wala ngada , saa nyingine waanze kututukanama wao kwa wao, sijui kazi gani wafanyazo huko mamtoni, wengi walienda kwenye ile program ya SUMMER CAMP ya kuwahudumia wazee na wasiojiweza wakazamia huko Sasa eti wanadai uraia pacha😄😄
 
Point[emoji106]
 
Mwigulu, alikua kipanga wa kukalili madesa ya micro and macro Economics tu, Lakini hawezi kuyaweka kwenye uhalisia,na jamaa ni system toka udsm,I remember one day amekuja kutushauri eti nyie mnagoma nini? Vumilieni serikali inatambua shida zenu, Wakati na yeye ni Mwanafunzi [emoji24][emoji23]mara nasikia kawa mbunge [emoji23][emoji23]
 
Hatuwezi kuwa na strategy ya kumtegemea mtu mmoja ambaye amekuwa mwanasiasa lazima tuwe na strategy ya kujijenga na kuimarisha wengine wawe tegemeo la taifa.
 
Yawezekana alionekana kumi bora kwenye karatasi, lakini ukifuatilia utakuta alioneshwa mitihani, na ukimweka kwenye utendaji, ni ovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…