Mr Leo
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 604
- 1,269
Naona umeona haya kusema huku kuingia mpaka uwe mtoto Wa brigedia na major general hahahaHuo ni mfano wa ajira nimetoa ambazo huko ni rahisi sana almost kila mtu Ana uwezo wa kupata, point yangu ni kwamba mfumo wa ajira wa Marekani ni mzuri na hawaangalii grades sana Kinyume na mleta mada anavyodhani
Sijamaanisha huku jeshi linaangalia grades za juu, nilitaka kumwambia huyo jamaa uhalisia wa ajira huko