Wale wa Algeria na Morocco tujuane hapa fasta 😀

Wale wa Algeria na Morocco tujuane hapa fasta 😀

Senegal
Ghana
Tunisia
Algeria
Morocco

Afrika tunaonewa sana, sijui wanatufanyia makusudi kuwakutanisha wakubwa ili mmoja apite na mwingine atoke!!! Siwaelewi hawa fifa

Afrika ilitakiwa angalau tutoe timu 10, maana bara lina timu nyingi kuliko hata Amerika ya kusini/kaskazini.

1 Egypt
2 Senegal
3 Algeria
4 Morocco
5 Tunisia
6 Nigeria
7 Cameroon
8 Mali
9 Ghana
10 Congo/Burkina faso

Hizo timu sio za kukosa.....tena 1-8 wako vizuri...
 
Africa wametubania sana mda mrefu
 
Senegal kwenye Mech ya marudiano wakikubali kwenda na Egypt mpaka dakika ya sabini 0-0..naona world cup wataiona kwenye Tv.
 
Hadi leo unaamini kwenye figisu?
Makao makuu ya CAF yako kwa Warabu huko Egypt wanafanya figisu za dhahiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Jangwa la Sahara. Anyway mengine tuyaaache lkn Tambua Warabu ndio wameshika Mpini wa maaamuzi ya soka la Afrika na CAF yao
 
Una mawazo ya kizamani sana aisee. Al Ahly wamepigwa ndani nje na Mamelod na kutoka sare na Al Hilal ya Sudan kule Sudan vipi makao makuu ya CAF yaliamishwa? Berkane tumeshuhudia wakigomea kuendelea na mchezo kutokana na kutoafikiana na maamuzi ya marefarii vipi makao makuu ya CAF yalihama? Vipi kuhusuZamaleki ambaye kwenye kundi lake hakushinda mechi hata moja?
 
Back
Top Bottom