Wale wa Algeria na Morocco tujuane hapa fasta 😀

Wale wa Algeria na Morocco tujuane hapa fasta 😀

Makao makuu ya CAF yako kwa Warabu huko Egypt wanafanya figisu za dhahiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Jangwa la Sahara. Anyway mengine tuyaaache lkn Tambua Warabu ndio wameshika Mpini wa maaamuzi ya soka la Afrika na CAF yao

Unaongea bila ushahidi, nani akuamini!

Nyie watu sijui mkoje aise 😁 waarabu tunao kwenye bara letu kwa maana ni ndugu zetu alafu mnawachukia, hii imekaaje!
 
Una mawazo ya kizamani sana aisee. Al Ahly wamepigwa ndani nje na Mamelod na kutoka sare na Al Hilal ya Sudan kule Sudan vipi makao makuu ya CAF yaliamishwa? Berkane tumeshuhudia wakigomea kuendelea na mchezo kutokana na kutoafikiana na maamuzi ya marefarii vipi makao makuu ya CAF yalihama? Vipi kuhusuZamaleki ambaye kwenye kundi lake hakushinda mechi hata moja?

Akikujibu nitag mkuu
 
Mungu abariki waarabu wote wapite.
Hao Waarabu tangu waaanze kwenda World Cup hawajawahi fikia Mafanikio ya Ghana, Senegal, Cameroun nk kwenye mashindano hayo so mara nyingi wanaonekana ka Watalii tu na ndio maaana hatuna mzuka nao wala huwezi kuta Kusini mwa Jangwa la Sahara wanapoteza Muda kuangalia gemu ya Algeria Vs Mexico lkn ingekuwa Ivory Coast vs Mexico mzuka wake unakuwa two times Mkuu.
Anyway nimekubali Mkuu umeshinda
 
Bukinafaso kapigwa 5-0 na Kosovo mechi ya kirafiki. Na alisumbua Afcon.

Afrika hata nafasi tano kombe la dunia wamependelewa. Uwezo mdogo. Kama vipi waende Ulaya au Asia Au South America wakafuzu pamoja.

Yaani nafasi za Ulaya ni 13
Afrika 5. Zichanganwe ziwe 18 kisha Ulaya na Afrika zizigombanie.



Australia mwenyewe alikimbia bara lake la Oceania/Australia akahamia Asia.

Maana anayeongoza kule anaambiwa acheze Mtoano na atakayekuwa wa tano S. Amerika. Ndio hapo unaambiwa labda Chile ndio wa tano.
Hizo nafasi tano tushukuru.
 
Hao Waarabu tangu waaanze kwenda World Cup hawajawahi fikia Mafanikio ya Ghana, Senegal, Cameroun nk kwenye mashindano hayo so mara nyingi wanaonekana ka Watalii tu na ndio maaana hatuna mzuka nao wala huwezi kuta Kusini mwa Jangwa la Sahara wanapoteza Muda kuangalia gemu ya Algeria Vs Mexico lkn ingekuwa Ivory Coast vs Mexico mzuka wake unakuwa two times Mkuu.
Anyway nimekubali Mkuu umeshinda
Italy alishachukua kombe la dunia na haendi mwaka huu. Unaionaje hiyo?
Je,aende tu kwa sababu ya historia?
 
Makao makuu ya CAF yako kwa Warabu huko Egypt wanafanya figisu za dhahiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Jangwa la Sahara. Anyway mengine tuyaaache lkn Tambua Warabu ndio wameshika Mpini wa maaamuzi ya soka la Afrika na CAF yao
Hapa umepotoka. Nchi za Afrika Kaskazini wanazidi hizi za jangwa la Sahara nguvu ya uwekezaji kiuchumi kwenye vilabu.
Ukija upande wa timu za taifa, wenzetu wana uzalendo zaidi, kidogo siku hizi nao uzalendo umeanza kushuka ndio maana wanasuasua pia.
 
Hao Waarabu tangu waaanze kwenda World Cup hawajawahi fikia Mafanikio ya Ghana, Senegal, Cameroun nk kwenye mashindano hayo so mara nyingi wanaonekana ka Watalii tu na ndio maaana hatuna mzuka nao wala huwezi kuta Kusini mwa Jangwa la Sahara wanapoteza Muda kuangalia gemu ya Algeria Vs Mexico lkn ingekuwa Ivory Coast vs Mexico mzuka wake unakuwa two times Mkuu.
Anyway nimekubali Mkuu umeshinda

Huu ni ubaguzi, na usiangalie records za nyuma. Leo hii ghana, Ivory coast, cameroon wazee wa michongo wakiingia w/c watafanya nini cha maana!!

Tukemee ubaguzi mzee, i know that wapo ambao hawapendi North countries waende Qatar, sababu mojawapo (Chuki/ubaguzi)
 
Daah,Senegal isiniangushe leo,naamini mna timu nzuri sanaa ya kuwafunga Egypt...piga Egypt.
 
Afrika tunaonewa sana, sijui wanatufanyia makusudi kuwakutanisha wakubwa ili mmoja apite na mwingine atoke!!! Siwaelewi hawa fifa

Afrika ilitakiwa angalau tutoe timu 10, maana bara lina timu nyingi kuliko hata Amerika ya kusini/kaskazini.

1 Egypt
2 Senegal
3 Algeria
4 Morocco
5 Tunisia
6 Nigeria
7 Cameroon
8 Mali
9 Ghana
10 Congo/Burkina faso

Hizo timu sio za kukosa.....tena 1-8 wako vizuri...
Timu zinaenda kwa ubora . Sio wingi wa nchi.
 
Bora egypt apite, waafrika huwa wanyonge mno uwanjani
Bora ngozi nyeusi hawa waarabu wa Africa wakiendaga world cup wanazinguwa. Halafu kwasasa kati ya Egypt na Senegal mi naona Senegal wapo vizuri
 
Bora ngozi nyeusi hawa waarabu wa Africa wakiendaga world cup wanazinguwa. Halafu kwasasa kati ya Egypt na Senegal mi naona Senegal wapo vizuri

Kwani waafrika walifanya nini cha maana world cup zilizopita? Refer 2014 Algeria na ujerumani walienda hadi extra time.
 
Kamugy T fuatilia wadau humu wametoa data

 
Kwani waafrika walifanya nini cha maana world cup zilizopita? Refer 2014 Algeria na ujerumani walienda hadi extra time.
Mimi nikiikumbuka Senegal ya 2002 na Ghana ya 2010 na Nigeria 2014 napata matumaini ya ngozi nyeusi. Algeria kweli 2014 walijitahidi ila Mara nyingi performance ya waarabu wa Africa world cup ni tofauti na wakiwa Africa ule ubabe wao hata wakikutana na timu za Asia unakuwa haupo
 
JOHANNESBURG - Egypt coach Carlos Queiroz says his team "will defend with 16 players" when they protect a 1-0 lead over Senegal on Tuesday in the second leg of an African World Cup play-off.

"What I mean by 16 players is that each one must make the effort of two players, not just one player," said the Mozambique-born former Real Madrid manager and twice Manchester United assistant manager.

"We deservedly won the first leg against the best team in Africa and now we are going to Senegal to fight for every metre, every loose ball. Every Egyptian must double his efforts."

A play-off that pits Liverpool stars Mohamed Salah of Egypt and Sadio Mane of Senegal against each other is a repeat of the recent Africa Cup of Nations final, which Senegal won on penalties after a 0-0 draw.

Here, AFP Sport looks ahead to the second legs on Tuesday that will decide which five African teams go to the 2022 World Cup in Qatar.

SENEGAL VS EGYPT

Senegal coach Aliou Cisse says he does not want to see supporters wearing suits in the recently completed Stade du Senegal near Dakar when they confront Egypt.

"We need more fanaticism when it comes to supporting our national team, like they do in Egypt and other north African countries," he says.

"Those who wear suits to football matches must give their tickets to Senegalese supporters who wear football jerseys. We want to see only green, yellow and red (national flag colours) in the stands."

The outcome could hinge on Egypt snatching an 'away' goal - if they do Senegal will face the mammoth task of scoring at least three times to qualify.

NIGERIA VS GHANA
New Ghana coach Otto Addo is optimistic that the Black Stars can reach the World Cup despite being held 0-0 at home by Nigeria in the first leg.

"The pressure if off us and on them," he believes. "It was crucial that we did not conceded at home and any score draw in the return match takes us through.

"Our players recovered superbly from a terrible Cup of Nations campaign in January, matched Nigeria throughout the 90 minutes and created more scoring chances."

Star Nigeria forward Victor Osimhen admits the pressure is on the Super Eagles, saying "this match is about much more than football - the nation is relying on us to triumph".

ALGERIA VS CAMEROON

Cameroon coach Rigobert Song, who succeeded sacked Portuguese Toni Conceicao after the Cup of Nations hosts came third last month, says star forward Vincent Aboubakar should be fit to face Algeria.

The captain has been battling a heel problem and was taken off at half-time of the first leg in Douala, which Cameroon lost 1-0 with Islam Slimani nodding the match-winner off a late first-half free-kick.

"We are sure Vincent will be available," said Song, hoping the skipper, and fellow attackers Eric Maxim Choupo-Moting and Karl Toko Ekambi, can turn the tables.

It is a tall order as the match is set for Blida, 50 kilometres (30 miles) southwest of Algiers, and the Stade Mustapha Tchaker is called the "slaughterhouse" because Algeria regularly win handsomely there.

MOROCCO VS DR CONGO

"Egypt rely heavily on Salah, Senegal on Mane and Algeria on (Riyad) Mahrez," says Morocco coach Vahid Halilhodzic, "but Morocco rely on 11 players."

The Bosnian coach was walking a tightrope by refusing to choose Chelsea winger Hakim Ziyech and Ajax Amsterdam full-back Noussair Mazraoui after a quarter-finals exit from the recent Cup of Nations.

When Halilhodzic attended a recent Wydad Casablanca match, many in the crowd chanted support for Ziyech, who the coach considers a "disruptive influence".

But after a poor start in the Democratic Republic of Congo, where they conceded once and could have trailed by three goals, Morocco missed a penalty and then equalised to force a 1-1 draw.

TUNISIA VS MALI

Four crazy minutes in Bamako for Mali defender Moussa Sissako gave Tunisia a 1-0 first-leg lead and, with home advantage, the Carthage Eagles are expected to seal a sixth World Cup appearance.

Sissako conceded an own goal on 36 minutes and was then sent off for a last-defender foul on Seifeddine Jaziri, which automatically rules him out of the return match.

Tunisia coach Jalel Kadri refused to accept that his team are almost there, however, warning his team that "the return match will be even more difficult".

Mali captain and defender Hamari Traore, a first-leg absentee due to a suspension, says "our players had sweat-soaked jerseys trying to stage a comeback last Friday. We have the means and will to succeed."
Source : AFP
 
Waarabu wenu hawa tayari wamebanduliwa nje ya world cup, Algeria na Egypt.
 
Back
Top Bottom