Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mizani ilipinduka....bora waarabu wawe wachache.Misri anaongoza kwa goli moja baada ya Senegal kujifunga. Uwezekano mkubwa ni kwa mataifa mengi ya kiarabu kushiriki kombe la dunia toka Afrika. Ghana na Nigeria ilikuwa bado bila bila.

Sasa hapa sawa ingawa tutamkosa Nigeria na Ivory Coast. Hao wakolon wa watumwa wabaki waende kula Urojo tu Mpira wa haki hawauwezi.The Big Five..๐๐๐..
Senegal
Cameroon
Ghana
Morocco
Tunisia
Kila laheri wawakilishi wa Africa...