BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ongeza na Misri basi tujue moja
Egypt 1-0 SenegalMisri anaongoza kwa goli moja baada ya Senegal kujifunga. Uwezekano mkubwa ni kwa mataifa mengi ya kiarabu kushiriki kombe la dunia toka Afrika. Ghana na Nigeria ilikuwa bado bila bila.
Mech ya marudiano,,,,,,Egypt wataenda kupaki bus na ukuta wa chuma unaweza shangaaa mpaka dakika ya tisini bila bila
Senegal
Ghana
Tunisia
Algeria
Morocco
Africa wametubania sana mda mrefuAfrika tunaonewa sana, sijui wanatufanyia makusudi kuwakutanisha wakubwa ili mmoja apite na mwingine atoke!!! Siwaelewi hawa fifa
Afrika ilitakiwa angalau tutoe timu 10, maana bara lina timu nyingi kuliko hata Amerika ya kusini/kaskazini.
1 Egypt
2 Senegal
3 Algeria
4 Morocco
5 Tunisia
6 Nigeria
7 Cameroon
8 Mali
9 Ghana
10 Congo/Burkina faso
Hizo timu sio za kukosa.....tena 1-8 wako vizuri...
Kwahiyo watakuwa kama taifa stars tuSenegal kwenye Mech ya marudiano wakikubali kwenda na Egypt mpaka dakika ya sabini 0-0..naona world cup wataiona kwenye Tv.
Mda ndo utaongea.Kwahiyo watakuwa kama taifa stars tu
Hii ni dharau kubwa sana kwa Ivory Coast.1 Egypt
2 Senegal
3 Algeria
4 Morocco
5 Tunisia
6 Nigeria
7 Cameroon
8 Mali
9 Ghana
10 Congo/Burkina faso
Hizo timu sio za kukosa.....tena 1-8 wako vizuri...
Hadi leo unaamini kwenye figisu?Kombe la Dunia bila Cameroon, Ivory Coast, Ghana, Mali nk itakuwa Afrika hatuna wawakilishi sasa maaana hao kina Morroco figisu zao hazijawahi fua daffu World Cup
Makao makuu ya CAF yako kwa Warabu huko Egypt wanafanya figisu za dhahiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Jangwa la Sahara. Anyway mengine tuyaaache lkn Tambua Warabu ndio wameshika Mpini wa maaamuzi ya soka la Afrika na CAF yaoHadi leo unaamini kwenye figisu?
Una mawazo ya kizamani sana aisee. Al Ahly wamepigwa ndani nje na Mamelod na kutoka sare na Al Hilal ya Sudan kule Sudan vipi makao makuu ya CAF yaliamishwa? Berkane tumeshuhudia wakigomea kuendelea na mchezo kutokana na kutoafikiana na maamuzi ya marefarii vipi makao makuu ya CAF yalihama? Vipi kuhusuZamaleki ambaye kwenye kundi lake hakushinda mechi hata moja?Makao makuu ya CAF yako kwa Warabu huko Egypt wanafanya figisu za dhahiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Jangwa la Sahara. Anyway mengine tuyaaache lkn Tambua Warabu ndio wameshika Mpini wa maaamuzi ya soka la Afrika na CAF yao