Misri anaongoza kwa goli moja baada ya Senegal kujifunga. Uwezekano mkubwa ni kwa mataifa mengi ya kiarabu kushiriki kombe la dunia toka Afrika. Ghana na Nigeria ilikuwa bado bila bila.