Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

Haya jamani wale wagonjwa wote tiba ndo hizi👉tangawizi 1, kitunguu swaumu punje 8,
👉Twanga na uvi changanye, hakikisha tangawizi ni Kali.
👉Weka maji glasi 2
👉chemsha, utakuwa una kunywa asubui na jioni, ikiisha tengeneza nyingine.
👉Usifanye mapenzi ndani ya week 2-3 wakati wa tiba.
 
Tiba nyingine hi hapa 👉tiba ya matunda👉
👉Mahitaji👉tikiti kipande,karoti 1,parachichi 1, na ndizi 2
👉Utakuwa una kula mchana, na jioni
👉Utakuwa una badilisha utaratibu was kuanza mfano day 1 tikiti,karoti,ndizi na parachichi
👉Day 2 parachichi, karoti,tikiti na ndizi. Mpaka zitimie wiki 1 hadi 2.
👉Note Usifanye mapenzi ndani ya wiki hizo za dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…