Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

Eeeh mkuu, ukutane na dude safiii, linawaka na kipapa kimepigwa topaz za kisasa hakina harara wala mapele🤣🤣🤣, nazama mie...kwanza nishaishi zaidi ya nusu ya uhai wangu duniani🤣🤣
Hii kitu tamu sana asikuambie mtu. Achatu ninyamaze.
20221220_164346.jpg
 
Haya jamani wale wagonjwa wote tiba ndo hizi👉tangawizi 1, kitunguu swaumu punje 8,
👉Twanga na uvi changanye, hakikisha tangawizi ni Kali.
👉Weka maji glasi 2
👉chemsha, utakuwa una kunywa asubui na jioni, ikiisha tengeneza nyingine.
👉Usifanye mapenzi ndani ya week 2-3 wakati wa tiba.
 
Tiba nyingine hi hapa 👉tiba ya matunda👉
👉Mahitaji👉tikiti kipande,karoti 1,parachichi 1, na ndizi 2
👉Utakuwa una kula mchana, na jioni
👉Utakuwa una badilisha utaratibu was kuanza mfano day 1 tikiti,karoti,ndizi na parachichi
👉Day 2 parachichi, karoti,tikiti na ndizi. Mpaka zitimie wiki 1 hadi 2.
👉Note Usifanye mapenzi ndani ya wiki hizo za dawa
 
Back
Top Bottom