Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

[emoji16][emoji16][emoji16] Kila mmoja ana wajibu wa kujifikisha kileleni , aka Kila mtu ashinde mechi zake .
Well said yaan hyo ni sawa na mayele amfunge manula halafu arud kumfunga diarra c kutesana huku
 
Nazungumzia wale ambao tunapiga kabao ketu ndani ya dakika 2-3 na baada ya hapo huo usingizi unaokuja si wa nchi hii....unalala saa mbili na dakika tatu usiku (baada ya kupiga kabao kako) na, kama hujaamshwa, basi unaweza kujikuta unaamka hata saa tatu asubuhi kesho yake.

Najua tupo wengi humu (ingawa nyuma ya keyboard kila mmoja humu anajifanya ni modal man) na tuna sababu tofautitofauti lakini bado tunaweza kushare.

Mwenzenu nimefanikiwa kuoa kabisa na watoto wawili ninao, hata huulizi watoto hawa ni wa nani na wala huwezi kuhitaji DNA kwani tu pamoja kwa kila kitu! Mke pamoja nami mwaka wa 10 huu sasa, ufundi wa viungo vingine kama mikono, ulimi n.k vikitumika kwa umaridadi mkubwa kuziba ombwe........mke nikijaribu kumtishia kumwacha vilio vyenyewe si vya nchi hii; anagalagala hadi huruma. Mara ya kwanza, katika hali hii, nilifikiri anaigiza tu lakini nilipojaribu mara ya pili, tatu hadi nne hali ikawa vilevile huku mke nikimtoa katika eneo linalosifika kwa wanawake kutopenda kuolewa nikapata imani. Sikuishia hapo, nikaitafuta michepuko miwili mitatu nje nako nikaona inaniganda hadi kero.........ile yenye uwezo ilikuwa inanipiga kampani balaa.

Wenzangu mnatumia mbinu gani huko kuwaweka sawa wake/wenza wenu?!!!
Come on out there, let's share!

Angalizo: kamwe siendi chumvini!
Chumvin ni Kutafuta fangasi za mdomo tu
 
Ila wanaume tuna mzigo mzito [emoji848]

Umlishe
Umvishe
Pocket Money
Umtibu akiugua
Iphone 13 pro na bando juu
Umkojozee bao za kutoshaa
Etc..

Hayo yote mimi tu? We unanipa nn? Tena kama umenizalia afadhali ntaelewa majukum yangu.. ila hizi gube gube za mtaa? Hell to the no!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nazungumzia wale ambao tunapiga kabao ketu ndani ya dakika 2-3 na baada ya hapo huo usingizi unaokuja si wa nchi hii....unalala saa mbili na dakika tatu usiku (baada ya kupiga kabao kako) na, kama hujaamshwa, basi unaweza kujikuta unaamka hata saa tatu asubuhi kesho yake.

Najua tupo wengi humu (ingawa nyuma ya keyboard kila mmoja humu anajifanya ni modal man) na tuna sababu tofautitofauti lakini bado tunaweza kushare.

Mwenzenu nimefanikiwa kuoa kabisa na watoto wawili ninao, hata huulizi watoto hawa ni wa nani na wala huwezi kuhitaji DNA kwani tu pamoja kwa kila kitu! Mke pamoja nami mwaka wa 10 huu sasa, ufundi wa viungo vingine kama mikono, ulimi n.k vikitumika kwa umaridadi mkubwa kuziba ombwe........mke nikijaribu kumtishia kumwacha vilio vyenyewe si vya nchi hii; anagalagala hadi huruma. Mara ya kwanza, katika hali hii, nilifikiri anaigiza tu lakini nilipojaribu mara ya pili, tatu hadi nne hali ikawa vilevile huku mke nikimtoa katika eneo linalosifika kwa wanawake kutopenda kuolewa nikapata imani. Sikuishia hapo, nikaitafuta michepuko miwili mitatu nje nako nikaona inaniganda hadi kero.........ile yenye uwezo ilikuwa inanipiga kampani balaa.

Wenzangu mnatumia mbinu gani huko kuwaweka sawa wake/wenza wenu?!!!
Come on out there, let's share!

Angalizo: kamwe siendi chumvini!
mzabzab alipewa taraka na mke wake.
Mke wake sa hv ameolewa kwingine na jamaa, Chumbani kwao waliweka godoro chini maan vitanda vilikua vyavunjika.
Stry nzima nilipewa na To yeye
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume wa kizazi hiki buree kabisa bora wa zamani
Uliona ile video mama mchungaji anasema wanaume wenye matatizo ya nguvu za kiume wapate mbelee
Hakuna alopita nilicheka sanaa
🤣🤣🤣🤣 Mwee sasa kwani anaweza rudisha nguvu za kiume ata tungepita hapo mbele
 
nyingi ya nini kwani tunashindana marathon.
 
Nmetafutiwa wa kule kijijini kwetu kabisa. Anavaa suruali za vitambaa na jeje.
Huyo wa kijijininatakuwa safi ila jiandae kupelekewa moto mpaka unaomba poh🤣🤣🤣🤣 hao sio soap soap kama mzabzab wa 2min x 3
 
Huyo wa kijijininatakuwa safi ila jiandae kupelekewa moto mpaka unaomba poh🤣🤣🤣🤣 hao sio soap soap kama mzabzab wa 2min x 3
Mim ndo nampenda huyo wa kijijini nyie wa mjini chips mayai akuu
 
Inaelekea ulikua mnato na joto sana 😃 wanawake inabidi mkiona hivyo ujisifie ila ukiona cha kwanza mwamba yuko juu dk ishirini ujue tayar bwawa hamna kitu
Kitu ambacho hawajui hawa wanawake, bao la kwanza Huwa linawahi, hasa mtu akifanya kavu, au kama alikaa muda mrefu bila kufanya, au kama akikutana na K tamu iliyopitiliza, au kakutana kimwili na huyo demu kwa mara ya kwanza au vyote kwa pamoja.

La pili na la tatu ndo yanachelewa, kwahiyo Dejane ulivyosusa na kumpiga mwenzio kwasababu ya bao la kwanza kuwahi, ulikosea. Ulitakiwa kumpa nafasi ya kupiga bao la pili na la tatu uone kama yangewahi. Pengine angedumu nusu saa na ukakojozwa vizuri ajabu, kwahiyo ulijikosesha utamu.

Halafu huyo jamaa itakuwa ndo mara ya kwanza mnakutana kimwili.
 
Back
Top Bottom