Bless mom
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 948
- 2,040
Wewe ndioo umesemaaa sasaa.foreplay matters
Mkuu na dushe haliwezi kua mbadala wa foreplay. Watu wamekariri mambo ya kwenye video za ngono na kuzani ndo uhalisia wa kumkojoza mwanamke nop, technique nzima ya kumkojoza mwanamke ipo kwenye maandalizi bila maandalizi proper utasugua saana ukihisi ndo anakunwa. Ukimwandaa vilivo akafika point ya mwisho kabisa kwamba she only need it ukimpa kwa kuipenetrate tena taaratibu hata dk 5 zinaweza zikawa nyingi anaiona kibo na mawenzi. Sema hata ladies wengi tu hawana experience ya kukojonzwa na mbaya zaidi akitune akili yake kua mda wa mapenzi ndo mda wa kuingiza hela