Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Wako wapi watoto wa Umendeni na sketi zai Nyekundu?

Wako wapi watoto wa Mama Nenze ambaye baadae alihamia Msalato?

Hahahaa nimeacha mbegu za kutosha!
Hahahahaha! Baada ya mama Nenze tukaletewa kifaa Ntagaye..
 
Bilionea Asigwa

Nakufaham ja!...huwezi kunipokonya ja, nakufaham vzr ja!

Ulikuwa unakuja pale uwanja wa Basketbal kuniona nikipiga watu matawi ja!

Nakufaham vizuri sana miweka hazina wa Ukwata!

Hahahaha
Hivi hakuwahi kuingia mitini na pesa za watu kweli, maana ujanja ujanja mwingi.
 
Kwa ambao hawajapita advance au kukaa boarding,wanaweza kuwaona kama vichaa kwenye huu uzi

Maisha ya a-level ni ya kipekee sana..mtu unaingia bafuni kunateleza hatari,watu washapiga migalala
 
Bilionea Asigwa

Nakufaham ja!...huwezi kunipokonya ja, nakufaham vzr ja!

Ulikuwa unakuja pale uwanja wa Basketbal kuniona nikipiga watu matawi ja!

Nakufaham vizuri sana miweka hazina wa Ukwata!

Hahahaha
Ha ha ha ha ha
Umenimiksi na mwingine jah...

Mimi nilikuwa ngugi mcheza Basketi pia, labda kama tulicheza pamoja.
 
Wako wapi watoto wa Umendeni na sketi zai Nyekundu?

Wako wapi watoto wa Mama Nenze ambaye baadae alihamia Msalato?

Hahahaa nimeacha mbegu za kutosha!
He he he he he
Vijana mlikuwa na fujo sana.

Mende siku hizi imebadilishwa imekuwa high school peke yake, na inaiburuza sana Boys kwenye matokeo siku hizi.
 
Alishatoka, labda kama alifungwa tena hadi 2012 alikua uraiani.
Dah
Kumbe alishatoka??

Kesi yake iliishaje??
Au waiyamaiza ki utu uzima??

Bado airudi kuwa mwalimu au ndio hivyo alipigwa chini mazima??
 
Hahahaaa nakumbuka bwiru boys jirani zangu pale Kitangiri secondary Ila wanangu mlikua ndezi sana sijui kwakua mlikua karibu na milima ya ngedere Ila kitu kimoja kizuri most of them r very smart I appreciate that
Ha ha ha ha
Wengi tulikuwa tunatolewa mikoani ndani ndani huko.

Tukifika Bwiru ndio tunakuwa tumefika town kwa mara ya kwanza, kwa hiyo lazima ubushimeni uonekane.

Kitangiri ilikuwa chocho yetu pale kama mtu hana nauli ya daladala, anakatizia skuli kwenu.

Bado Kitangiri mnavaaga sare za blue na nyeupe??
Sare zilikuwa zimekaa kama za Veta zile
Ha ha ha ha
 
Kumbe hukumkuta Mwl Nyange wa Maths wewe
Sikumkuta mkuu.

Nilifundishwa na Rung'wecha, alikuwa bingwa wa Maths sana miaka hiyo.
Ila ajabu nilienda mpaka chuo nikaja kubanana naye chuoni tukawa tunagombani ama shuttle.

Yani mwalimu wako amekufundisha shule na ulikuwa unamkubali balaa halafu unakutana naye chuoni, hapo ndipo unakuja kugundua kumbe alikuwa wa kawaida tu.

Maisha haya hayako fair kabisa.
 
Hivi hakuwahi kuingia mitini na pesa za watu kweli, maana ujanja ujanja mwingi.
teh teh teh
Ujanja ujanja umekuja baada ya kumaliza O level.
Nilikuwaga wale watu wasongo sana, nisiye taka rapsha na mtu.
 
Kwa ambao hawajapita advance au kukaa boarding,wanaweza kuwaona kama vichaa kwenye huu uzi

Maisha ya a-level ni ya kipekee sana..mtu unaingia bafuni kunateleza hatari,watu washapiga migalala
He he he he he
Kupiga mgalla enzi hizo tulikuwa tunaita kupiga puli.

Life was so sweet in those days.
 
Waliyamaliza kiutu uzima na akarudi kuwa mwalimu.
Dah
Jamaa kasota kweli aiseee.

Najua anaishi life ya frustration sana, kusababisha kifo cha mtu si jambo dogo.

Bado anafundisha pale pale au alihamishwa??
 
He he he he he
Vijana mlikuwa na fujo sana.

Mende siku hizi imebadilishwa imekuwa high school peke yake, na inaiburuza sana Boys kwenye matokeo siku hizi.
Kweli, Mwanzoni ilikuwa O'level & A'level...2008 ikawa mwisho kupokea form 1...Hivo form 4 wa mwisho ilikuwa 2011 kama sikosei .
 
Kwa ambao hawajapita advance au kukaa boarding,wanaweza kuwaona kama vichaa kwenye huu uzi

Maisha ya a-level ni ya kipekee sana..mtu unaingia bafuni kunateleza hatari,watu washapiga migalala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…