Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Teh teh teh
Hukuwahi kuhudhuria mombasa??
Vipi Ukarani??

Hukuwahi kwenda kuiba mahindi ya shule na kuyaloweka usiku kucha kwenye maji asubuhi yalainike ili uyachome??
Ukarani kama kawa!! I can guess umemaliza pale 2005!! Halafu chuoni tukawa darasa moja[emoji1]
 
Mzee Chigugu na kigugumizi chake hahaha!

Yupo bado mwanza naeneo ya Mnalani kajenga katulia!

Kisuu kapooza sana!....baada ya kustaafu mambo hajamwendea sawa!

But yupo njema sana. Nashukuru Mungu kwa Afya yake
Dah
Kweli maisha safari ndefu sana.

Wapi azebele siku hizi??
Ameacha kale kamsemo kake ka "Arooooooh ni kwambaaaaaaa............"
 
Yeah!!! Alikuwa na kabinti kake vijana walianza kukalia mingo hatari!! Hapo shule ya kata mnarani sekondari imefunguliwa kakajiunga pale form one!! Acha vijana wakaweka kwenye target!!!
Ha ha ha ha
Kwa hio unasema kabinti ilikuwa kakitaka kwenda shule lazima kapite pale mbele ya Parade watu wakaone??
Pia si lazima kalikuwa kanapita ie njia ya Luthuli, then Lumumba, then Sekou ture??

Kweli vijana mlikakosesha raha aiseee
 
Back
Top Bottom