Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

hahaha, supu ya hizo samaki sina.
 
KARIBU JILAMBE KWA NAHUJA[emoji38][emoji38]
Ubunifu wa hali ya juu,,, jina la mgahawa litawavutia wengi, hata kama alikuwa ni mpita njia itabidi avute kisturi.. Anyway siku nikija hapo mwaloni nami nitakuja kujilamba kwa NAHUJA.
 
Duh!
Hao samaki wananikumbusha enzi za utoto wangu Ukerewe! Nowdays hawapatikani kirahisi!
Nikija Mwanza nitakuja kuwala hapo kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…