hahaha, supu ya hizo samaki sina.Supu ya domo domo huna, au yule samaki anafanana na ningu ana mfupa unanasaga kooni, ameua sana watu miaka ya 90 hivi.
Zamani tulikuwa tunamuita matusi ya Mwanza.
Kula kabla ya ibada kuna raha yake, minyoo haisumbui tumboni.
Si unajua huko tumboni ni full kufurukuta.