Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
- Thread starter
- #321
He he he heHivyo ulikuwa PONO?
Hapana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He he he heHivyo ulikuwa PONO?
Halafu unajua nimesikia jana redio kwamba mwalimu PCB Matovu bingwa wa Geography kuanzia Musoma Tech, Bwiru Girls na Nsumba Secondary kafariki!Hivyo ulikuwa PONO?
Huyo simfahamu, hakutufundisha sieHalafu unajua nimesikia jana redio kwamba mwalimu PCB Matovu bingwa wa Geography kuanzia Musoma Tech, Bwiru Girls na Nsumba Secondary kafariki!
Alikuwa na midevu kibao na nadhani ndiye alikuwa mwalimu bora kabisa wa Geo kanda ya ziwa. Mie kanifundisha twisheni form four miaka hiyo wakati ndinyi mpo mama nyaaa nyuma ya nyumba! Hahaha
Matovu nampata sana.Halafu unajua nimesikia jana redio kwamba mwalimu PCB Matovu bingwa wa Geography kuanzia Musoma Tech, Bwiru Girls na Nsumba Secondary kafariki!
Alikuwa na midevu kibao na nadhani ndiye alikuwa mwalimu bora kabisa wa Geo kanda ya ziwa. Mie kanifundisha twisheni form four miaka hiyo wakati ndinyi mpo mama nyaaa nyuma ya nyumba! Hahaha
TOZZI KAFARIKI MWAKA GANI?
Juzi. Wanazika kwake BuhongwaMatovu nampata sana.
Alikuwa mwembamba fulani hivi anavaa miwani anafuga madevu.
Kafariki lini tena??
DohJuzi. Wanazika kwake Buhongwa
Ukishika kituo cha Msikitini/darajani hapo Buhongwa kama unatokea town, unavuka barabara unauliza ni karibu na shule flani ya sekondary nimeisahau jina!Doh
Buhongwa karibu na shule ya Bulale??
Nitahudhuria msiba aseee
Niko Mwana now
OkyUkishika kituo cha Msikitini/darajani hapo Buhongwa kama unatokea town, unavuka barabara unauliza ni karibu na shule flani ya sekondary nimeisahau jina!
Nilimtembelea mwaka juzi. Amejenga bonge la jumba, bustani ya maana na nje kaweka kagrossary!
Alikuwa mwanachama mzuri wa kinywaji!
He he he heJiwe kuu bwiru place pale chin na zile bash za bwiru girls mzamiaji maarufu..
Nilikuepo kama nn
alirudu tena kufundisha bwiru?Imepita miaka kama mitatu hivi mkuu
Ilikua lazma uwe maaruf wa bash.. Ukionekana tu hakuna maswal coz washereheshaj kama cc shule kibao mza kat tumo... Ukiona bash linakaribia kuisha ujue lazma mavurugu so unateleza kama umekanyaga ganda la ndiz... [emoji28] [emoji28] [emoji28]He he he he
Uikuwa unazamia Bah au ulikuwa unasubiri zile fungulia dog??
Haaaaaah haaaaaa... Huwenda kwenda Mombasa kulimnyima mwili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38], sishangai...Shule zina mengi hapo kuna masomo + chakula + stress za kujitakia na mengine mengi...Mwenyewe anadai alikuwa ni miongoni mwa wapiga chabo kwa gals huko miambani, hapo lazima mwili ukumbane na purukshani zisizo lazima[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], inawezekana pia.Haaaaaah haaaaaa... Huwenda kwenda Mombasa kulimnyima mwili
Hapana mimi sikusoma hapo!!! Nimefika Mwanza kutafuta mkate wa kila siku.Kuna mdada mmoja anaitwa NAHUJA, mwingine anaitwa Mulhat Mpunga , na mwingine ledada
Hivi nyie hamkusoma Bwiru Girls kweli nyie??
He he he heHapana mimi sikusoma hapo!!! Nimefika Mwanza kutafuta mkate wa kila siku.
Bahati mbaya mimi hata secondary sijasoma, ni darasa la 4C, ndio maana nikaishia kuwa MAMA LISHE. Karibu sana kwenye ka cafe kangu hapa Kirumba - Mwaloni kanaitwa KARIBU JILAMBE KWA NAHUJA😉😉😉😉
Si bora usali kabisa ndio uje kula mchemsho!!! ahahahahahahhah. ni vema siku ya Jumapili usile chochote kabla ya mwili wa Kristu. tehe tehe tehe. Kumbe unasali kwa father Mtema!!!He he he he
Jumapili huwa naenda kusali Parokiani Kirumba hapo.
Kabla ya misa nitapita kunywa mchemsho.
Supu ya domo domo huna, au yule samaki anafanana na ningu ana mfupa unanasaga kooni, ameua sana watu miaka ya 90 hivi.Si bora usali kabisa ndio uje kula mchemsho!!! ahahahahahahhah. ni vema siku ya Jumapili usile chochote kabla ya mwili wa Kristu. tehe tehe tehe. Kumbe unasali kwa father Mtema!!!
Huwa nina supu ya Kamongo, Mbete, Gogogo, Ningu, Mumi, Ngele and the like