Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Hivyo ulikuwa PONO?
Halafu unajua nimesikia jana redio kwamba mwalimu PCB Matovu bingwa wa Geography kuanzia Musoma Tech, Bwiru Girls na Nsumba Secondary kafariki!

Alikuwa na midevu kibao na nadhani ndiye alikuwa mwalimu bora kabisa wa Geo kanda ya ziwa. Mie kanifundisha twisheni form four miaka hiyo wakati ndinyi mpo mama nyaaa nyuma ya nyumba! Hahaha
 
Huyo simfahamu, hakutufundisha sie
 
Halafu unajua nimesikia jana redio kwamba mwalimu PCB Matovu bingwa wa Geography kuanzia Musoma Tech, Bwiru Girls na Nsumba Secondary kafariki!

Alikuwa na midevu kibao na nadhani ndiye alikuwa mwalimu bora kabisa wa Geo kanda ya ziwa. Mie kanifundisha twisheni form four miaka hiyo wakati ndinyi mpo mama nyaaa nyuma ya nyumba! Hahaha
Matovu nampata sana.

Alikuwa mwembamba fulani hivi anavaa miwani anafuga madevu.

Kafariki lini tena??
 
Doh
Buhongwa karibu na shule ya Bulale??
Nitahudhuria msiba aseee

Niko Mwana now
Ukishika kituo cha Msikitini/darajani hapo Buhongwa kama unatokea town, unavuka barabara unauliza ni karibu na shule flani ya sekondary nimeisahau jina!

Nilimtembelea mwaka juzi. Amejenga bonge la jumba, bustani ya maana na nje kaweka kagrossary!

Alikuwa mwanachama mzuri wa kinywaji!
 
Oky
Ngoja niwatafute wadau walioko hapa Mwanza najua watakuwa wanapafahamu twende msibani.

Maisha ya mwanadamu mafupi sana aiseee
Dah.
 
He he he he
Uikuwa unazamia Bah au ulikuwa unasubiri zile fungulia dog??
Ilikua lazma uwe maaruf wa bash.. Ukionekana tu hakuna maswal coz washereheshaj kama cc shule kibao mza kat tumo... Ukiona bash linakaribia kuisha ujue lazma mavurugu so unateleza kama umekanyaga ganda la ndiz... [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38], sishangai...Shule zina mengi hapo kuna masomo + chakula + stress za kujitakia na mengine mengi...Mwenyewe anadai alikuwa ni miongoni mwa wapiga chabo kwa gals huko miambani, hapo lazima mwili ukumbane na purukshani zisizo lazima[emoji38][emoji38][emoji38]
Haaaaaah haaaaaa... Huwenda kwenda Mombasa kulimnyima mwili
 
Kuna mdada mmoja anaitwa NAHUJA, mwingine anaitwa Mulhat Mpunga , na mwingine ledada
Hivi nyie hamkusoma Bwiru Girls kweli nyie??
Hapana mimi sikusoma hapo!!! Nimefika Mwanza kutafuta mkate wa kila siku.
Bahati mbaya mimi hata secondary sijasoma, ni darasa la 4C, ndio maana nikaishia kuwa MAMA LISHE. Karibu sana kwenye ka cafe kangu hapa Kirumba - Mwaloni kanaitwa KARIBU JILAMBE KWA NAHUJA😉😉😉😉
 
Jumapili huwa naenda kusali Parokiani Kirumba hapo.

Kabla ya misa nitapita kunywa mchemsho.
 
Si bora usali kabisa ndio uje kula mchemsho!!! ahahahahahahhah. ni vema siku ya Jumapili usile chochote kabla ya mwili wa Kristu. tehe tehe tehe. Kumbe unasali kwa father Mtema!!!
Huwa nina supu ya Kamongo, Mbete, Gogogo, Ningu, Mumi, Ngele and the like
 
Supu ya domo domo huna, au yule samaki anafanana na ningu ana mfupa unanasaga kooni, ameua sana watu miaka ya 90 hivi.
Zamani tulikuwa tunamuita matusi ya Mwanza.

Kula kabla ya ibada kuna raha yake, minyoo haisumbui tumboni.
Si unajua huko tumboni ni full kufurukuta.
 
Back
Top Bottom