Hahaha! Zilikuwa zaitwaje???Ha ha ha ha ha
Nalikumbuka sana, kipindi hicho hazikuwa zinaitwa dume.
Ulikuwepo miaka hiyo umendeni???
He he he heMwalimu Kiandiki alikua na mtoto mzuri sana, unamkumbuka? I wish ningekua mkubwa kama sasa
Kuja jamaa mmoja alikua na binocular kwa ajili ya kuwachungulia mendeHa ha ha ha ha
Nalikumbuka sana, kipindi hicho hazikuwa zinaitwa dume.
Ulikuwepo miaka hiyo umendeni???
Kuna jina letu tuikuwa tunalitumia limenitoka kidogo.Hahaha! Zilikuwa zaitwaje???
###Ntagaye###
Alikuwa bonge moja hivi tulikuwa tunamuita Big.Kuja jamaa mmoja alikua na binocular kwa ajili ya kuwachungulia mende
Na kuna mwalimu mwingine alikua ananuka vitunguu, kila akiongea na anatoa sana .Wanafunzi wakambatiza jina la puuuHe he he he
Kiandika alikuwa anampenda sana mtoto wake aiseee.
Na kila akikata pindi la Engineering science lazima amsifie class.
Ni moja ya maticha waliokuwa very funy, japo alikuwa na stress zake.
Yap, mgomo uliondoka naye. Mzee ulikumbilia wapi siku ya mgomo?Alikuwa bonge moja hivi tulikuwa tunamuita Big.
Jamaa mgomo ule ulimuondoa pale.
Ha ha ha haNa kuna mwalimu mwingine alikua ananuka vitunguu, kila akiongea na anatoa sana .Wanafunzi wakambatiza jina la puuu
Siku hiyo tulilala mlimani njia ya kwenda ziwani.Yap, mgomo uliondoka naye. Mzee ulikumbilia wapi siku ya mgomo?
Inaonekana walimu wengi wamefariki pale aseeHa ha ha ha
Mwalimu Ruhiye huyo, jina lake la utani lilikuwa Toxic.
Alishafariki kitambo sana aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jina letu tuikuwa tunalitumia limenitoka kidogo.
Ila ilikuwa ni burudani sana kwa wale wadada wanakuja kuhamasisha kampeni za ukimwi, halafu wakimaliza wanafundisha namna ya kuvalisha ndomu kwenye uume.
Walikuwa na midushe ya mbao yenye shepu kama 4 hivi, ambazo wengi wanadai zilikuwa zinafanana na za kwao(teh teh teh ).
Basi mdada akianza kuvalisha ndomu watu wanahisi kama mdada kawavalisha wao, yani full burudani.
Jioni yake sasa muda wa kuoga, utawaona watu hawaendi ziwani siku hiyo, kila mtu anajikunja na ndoo ya kuogea gizani.
Kama alikuwa anaoga dakika kumi kila siku, siku hiyo ataoga nusu saaa nzima, na prepo siku hiyo hataenda.
teh teh teh
Masaba pia keshafariki.Inaonekana walimu wengi wamefariki pale asee
Na asubuhi tukaamkia kwa mkuu wa mkoa, mgomo ulitokea muda mbaya mwishoni mwa term. Watu hawana hela, njaa inauma huku chakula tumegoma kulaSiku hiyo tulilala mlimani njia ya kwenda ziwani.
Ilikuwa ni mshike mshike.
Huku polisi wako skuli na matochi yao wanasaka wagomaji, huku juu ya mlima baridi la hatari na huna hata shuka.
Yaani ilikuwa kama movie vile.
Ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakumbuka siku mmepita umendeni na ki mkweche chenu mkajidai kuwarushia gals ndomu (time ya class)....H.mistress kawavalia njuga mpaka uboizini ....Wahusika wakachezea....Tena kwa mkono wa mistress mwenyewe.
Siku hiyo tumeenda kwa mkuu wa mkoa, halafu naye akatuchenjia.Na asubuhi tukaamkia kwa mkuu wa mkoa, mgomo ulitokea muda mbaya mwishoni mwa term. Watu hawana hela, njaa inauma huku chakula tumegoma kula
Masaba namkumbuka aliwahi kwenda japan halafu akarudi, baunsa jina nalikumbuka ila sura imenitoka. Naskia na yule aliyekua mwalimu wa chakula jina limenitoka ameshakufaMasaba pia keshafariki.
Unamkumbuka??
Alikuwa ana kilema cha mguu anafundisha Electrical.
Pia nasikia Baunsa yue mashoto yuko jela, amefungwa kwa kosa la kmpiga mkewe mpaka akaua.
Siku hiyo nilikunywa kahawa kwa mara ya kwanza ili kuzuia usingizi maana kule porini sikulala kabisaSiku hiyo tumeenda kwa mkuu wa mkoa, halafu naye akatuchenjia.
Alikuwa masai mmoja anaitwa Njolay.
Alikuwa mtata sana, hafagilii wanafunzi wala hafagilii waalimu, yaani ni kutuchana tu wote laivu.
Siku hiyowatu tulinunua karanga tukapiga na chai ya pila majani ya chai tukaala, siku ikapita.
hilo tukio namkumbuka Tagawa...a.k.a Fundi baskeli.Alienda Bwiru GIRLS na kandambili rangi mbili ...Nakumbuka pia kuna mtu alikuwa anaitwa Paic... .Ha ha ha kituko gani??
Nakumbuka kituko tulichofanya ni vijana kununua petroli kwenda kumchoma mlinzi wa pump ya maji anaitwa handsome baada ya kuwabania vijana waliokuwa wametorosha wabanti girls na kuwapeleka ufukweni kula bata.
Zaidi ya hapo hatujawahi kupewa kisago aiseee
Sie tulikuwa watata sana miaka yetu sie.
Mwalimu wa Chakula yupi, Bosso??Masaba namkumbuka aliwahi kwenda japan halafu akarudi, baunsa jina nalikumbuka ila sura imenitoka. Naskia na yule aliyekua mwalimu wa chakula jina limenitoka ameshakufa
Ha ha ha hahilo tukio namkumbuka Tagawa...a.k.a Fundi baskeli.Alienda Bwiru GIRLS na kandambili rangi mbili ...Nakumbuka pia kuna mtu alikuwa anaitwa Paic... .
Bwiru hii ilikuwa ni shida....