Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Mwalimu Kiandiki alikua na mtoto mzuri sana, unamkumbuka? I wish ningekua mkubwa kama sasa
He he he he
Kiandika alikuwa anampenda sana mtoto wake aiseee.
Na kila akikata pindi la Engineering science lazima amsifie class.

Ni moja ya maticha waliokuwa very funy, japo alikuwa na stress zake.
 
Hahaha! Zilikuwa zaitwaje???
###Ntagaye###
Kuna jina letu tuikuwa tunalitumia limenitoka kidogo.
Ila ilikuwa ni burudani sana kwa wale wadada wanakuja kuhamasisha kampeni za ukimwi, halafu wakimaliza wanafundisha namna ya kuvalisha ndomu kwenye uume.

Walikuwa na midushe ya mbao yenye shepu kama 4 hivi, ambazo wengi wanadai zilikuwa zinafanana na za kwao(teh teh teh ).

Basi mdada akianza kuvalisha ndomu watu wanahisi kama mdada kawavalisha wao, yani full burudani.
Jioni yake sasa muda wa kuoga, utawaona watu hawaendi ziwani siku hiyo, kila mtu anajikunja na ndoo ya kuogea gizani.
Kama alikuwa anaoga dakika kumi kila siku, siku hiyo ataoga nusu saaa nzima, na prepo siku hiyo hataenda.

teh teh teh
 
He he he he
Kiandika alikuwa anampenda sana mtoto wake aiseee.
Na kila akikata pindi la Engineering science lazima amsifie class.

Ni moja ya maticha waliokuwa very funy, japo alikuwa na stress zake.
Na kuna mwalimu mwingine alikua ananuka vitunguu, kila akiongea na anatoa sana .Wanafunzi wakambatiza jina la puuu
 
Ha ha ha ha
Mwalimu Ruhiye huyo, jina lake la utani lilikuwa Toxic.

Alishafariki kitambo sana aiseee
 
Yap, mgomo uliondoka naye. Mzee ulikumbilia wapi siku ya mgomo?
Siku hiyo tulilala mlimani njia ya kwenda ziwani.
Ilikuwa ni mshike mshike.

Huku polisi wako skuli na matochi yao wanasaka wagomaji, huku juu ya mlima baridi la hatari na huna hata shuka.
Yaani ilikuwa kama movie vile.
 
Kuna jina letu tuikuwa tunalitumia limenitoka kidogo.
Ila ilikuwa ni burudani sana kwa wale wadada wanakuja kuhamasisha kampeni za ukimwi, halafu wakimaliza wanafundisha namna ya kuvalisha ndomu kwenye uume.

Walikuwa na midushe ya mbao yenye shepu kama 4 hivi, ambazo wengi wanadai zilikuwa zinafanana na za kwao(teh teh teh ).

Basi mdada akianza kuvalisha ndomu watu wanahisi kama mdada kawavalisha wao, yani full burudani.
Jioni yake sasa muda wa kuoga, utawaona watu hawaendi ziwani siku hiyo, kila mtu anajikunja na ndoo ya kuogea gizani.
Kama alikuwa anaoga dakika kumi kila siku, siku hiyo ataoga nusu saaa nzima, na prepo siku hiyo hataenda.

teh teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakumbuka siku mmepita umendeni na ki mkweche chenu mkajidai kuwarushia gals ndomu (time ya class)....H.mistress kawavalia njuga mpaka uboizini ....Wahusika wakachezea....Tena kwa mkono wa mistress mwenyewe.
 
Inaonekana walimu wengi wamefariki pale asee
Masaba pia keshafariki.

Unamkumbuka??
Alikuwa ana kilema cha mguu anafundisha Electrical.

Pia nasikia Baunsa yue mashoto yuko jela, amefungwa kwa kosa la kmpiga mkewe mpaka akaua.
 
Siku hiyo tulilala mlimani njia ya kwenda ziwani.
Ilikuwa ni mshike mshike.

Huku polisi wako skuli na matochi yao wanasaka wagomaji, huku juu ya mlima baridi la hatari na huna hata shuka.
Yaani ilikuwa kama movie vile.
Na asubuhi tukaamkia kwa mkuu wa mkoa, mgomo ulitokea muda mbaya mwishoni mwa term. Watu hawana hela, njaa inauma huku chakula tumegoma kula
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakumbuka siku mmepita umendeni na ki mkweche chenu mkajidai kuwarushia gals ndomu (time ya class)....H.mistress kawavalia njuga mpaka uboizini ....Wahusika wakachezea....Tena kwa mkono wa mistress mwenyewe.
Ha ha ha ha
Nakumbuka sana tu.

Ila bahati yenu headmaster alitugeuka kwa sababu binafsi anazozijua yeye(teh teh teh).
Ila tulilipiza kwa kuvunja kasanamu kenu pale geti la kuingilia skuli.

Nasikia madogo walikuwa wanakaita Salome.
 
Na asubuhi tukaamkia kwa mkuu wa mkoa, mgomo ulitokea muda mbaya mwishoni mwa term. Watu hawana hela, njaa inauma huku chakula tumegoma kula
Siku hiyo tumeenda kwa mkuu wa mkoa, halafu naye akatuchenjia.
Alikuwa masai mmoja anaitwa Njolay.
Alikuwa mtata sana, hafagilii wanafunzi wala hafagilii waalimu, yaani ni kutuchana tu wote laivu.

Siku hiyowatu tulinunua karanga tukapiga na chai ya pila majani ya chai tukaala, siku ikapita.
 
Masaba pia keshafariki.

Unamkumbuka??
Alikuwa ana kilema cha mguu anafundisha Electrical.

Pia nasikia Baunsa yue mashoto yuko jela, amefungwa kwa kosa la kmpiga mkewe mpaka akaua.
Masaba namkumbuka aliwahi kwenda japan halafu akarudi, baunsa jina nalikumbuka ila sura imenitoka. Naskia na yule aliyekua mwalimu wa chakula jina limenitoka ameshakufa
 
Siku hiyo tumeenda kwa mkuu wa mkoa, halafu naye akatuchenjia.
Alikuwa masai mmoja anaitwa Njolay.
Alikuwa mtata sana, hafagilii wanafunzi wala hafagilii waalimu, yaani ni kutuchana tu wote laivu.

Siku hiyowatu tulinunua karanga tukapiga na chai ya pila majani ya chai tukaala, siku ikapita.
Siku hiyo nilikunywa kahawa kwa mara ya kwanza ili kuzuia usingizi maana kule porini sikulala kabisa
 
Ha ha ha kituko gani??
Nakumbuka kituko tulichofanya ni vijana kununua petroli kwenda kumchoma mlinzi wa pump ya maji anaitwa handsome baada ya kuwabania vijana waliokuwa wametorosha wabanti girls na kuwapeleka ufukweni kula bata.

Zaidi ya hapo hatujawahi kupewa kisago aiseee
Sie tulikuwa watata sana miaka yetu sie.
hilo tukio namkumbuka Tagawa...a.k.a Fundi baskeli.Alienda Bwiru GIRLS na kandambili rangi mbili ...Nakumbuka pia kuna mtu alikuwa anaitwa Paic... .
Bwiru hii ilikuwa ni shida....
 
Masaba namkumbuka aliwahi kwenda japan halafu akarudi, baunsa jina nalikumbuka ila sura imenitoka. Naskia na yule aliyekua mwalimu wa chakula jina limenitoka ameshakufa
Mwalimu wa Chakula yupi, Bosso??
Alikufa kitambo sana na kaugonjwa ketu pendwa, alianza kufa dada yake kwanza, akafuata na yeye.

Massaba aliwahi kufumaniwa na mkewe workshop anavunja amri ya sita na mkewe kule kwenye vigorofa vya ndani ya workshop, ili kuliua soo kiutu uzima ikabidi yule mwalimu aliyekuwa amefumwa naye atemwe kiaina Massaba akaachwa.

Ila nasikia naye kavuta na kaugonjwa ketu pendwa.

Ila wanafunzi tulimaindi sana ticha wetu wa kike kufukuzwa, maana alikuwa na mshepu wa hatari na vinguo vya mitego balaa.
Alikuwa hajui kufundisha ila akiingia class na vinguo vyake, class linajaa na siku hiyo watu hawasinzii.

teh teh teh
 
hilo tukio namkumbuka Tagawa...a.k.a Fundi baskeli.Alienda Bwiru GIRLS na kandambili rangi mbili ...Nakumbuka pia kuna mtu alikuwa anaitwa Paic... .
Bwiru hii ilikuwa ni shida....
Ha ha ha ha
Umekumbuka vyema sana mkuu.
Siku hiyo iliitishwa parade ya ukaguzi, yule sister duu wa umenendeni anapita anakagua mmoja mmoja, akikupointi tu, unapelekwa ofisini kwa masta.

Mbona siku hiyo kila mtu alikuwa mpole??

Paic sijui yuko wapi siku hizi.
 
Back
Top Bottom