Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
- Thread starter
- #61
YapBaada ya mgomo nakumbuka unakuja na barua kutoka kwa dc wako pamoja na adhabu ya kufyatua tofali 200. Naskia kisuu alipiga hela pale coz aliyatumia kujenga mabweni ya advance huku akisema ameyanunua
Alipiga hela ndefu sana pale.
Kuna yule mjepu alikuwa anafundisha plumbing, alitoa Milioni 50 za kujenga mabweni.
Kisuu akazinywa, akatumia kama milioni 8 hivi akamiksi na matofali yetu ya adhabu akasimamisha library na mabweni.
Unaikumbuka katara??
Unamkumbuka Chigugu??