Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
- Thread starter
- #81
Siku hiyo ilikuwa uwanja gani wa Nyamagana au Nsumba??Hii picha imenikumbusha mbali sana. Nakumbuka kuna kipindi tulienda kucheza mechi na nsumba ukatokea ugomvi. Watu ambao hawakua na nauli walitembea kutoka nsumba mpaka bwiru kwa mguu
Watu walikuwa wanatembea toka Nsumba mpaka Bwiru kwa miguu ila kengele ya msosi wanaiwahi aiseee
teh teh te h