Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
- Thread starter
-
- #61
YapBaada ya mgomo nakumbuka unakuja na barua kutoka kwa dc wako pamoja na adhabu ya kufyatua tofali 200. Naskia kisuu alipiga hela pale coz aliyatumia kujenga mabweni ya advance huku akisema ameyanunua
He he he he[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nao walikuwa na ya kwao tu.
Nakumbuka vijana walikua hawakauki pale kenyata domitory kuwinda wape watoto wa kike. Ile ya maswa watu waliomba kwenda tena wakakubaliwa. Watu wakajikoki wakabeba mpaka ndomu kabisa. Kufika kule hakuna cha disco wala debate, hakuna aliyeambulia hata kushika mkono wa mtoto kikeHa ha ha ha
Nakumbuka sana amkuu.
Kuna watu miacha watoto kule, mwende kuwaangaia watoto wetu, watakuwa washakuwa watu wazima sasa.
Unakumbuka Ile shule ya Sengerema inaitwa Nyamprikano ilikuwa Boys kututembelea??
Unakumbuka vijana walivyokuwa wanapigana vikumbo usiku kucha kupata access ya kuzungumza na warembo bweni walilokuwa wamefikia??
Yaani siku hio kuanzia H.P mpaka raia wa kawaida tulikesha madirishani mpaka kukakucha.
Ha ha ha ha ha
Maish haya bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]He he he he
Kupigwa chabo kuna raha yake bana
Asikwambia mtu.
Katara ndo lilikua school bus letu, chigugu si ndo yule doctor. Hata ukiwa unaharisha unapewa panadol. Kuna watu kidogo wafukuzwe kisa wanaenda kungalia moira kwakr usikuYap
Alipiga hela ndefu sana pale.
Kuna yule mjepu alikuwa anafundisha plumbing, alitoa Milioni 50 za kujenga mabweni.
Kisuu akazinywa, akatumia kama milioni 8 hivi akamiksi na matofali yetu ya adhabu akasimamisha library na mabweni.
Unaikumbuka katara??
Unamkumbuka Chigugu??
Daniel ole Njolay! Yupo hapa Arusha siku hizi, retired and tired.Siku hiyo tumeenda kwa mkuu wa mkoa, halafu naye akatuchenjia.
Alikuwa masai mmoja anaitwa Njolay.
Alikuwa mtata sana, hafagilii wanafunzi wala hafagilii waalimu, yaani ni kutuchana tu wote laivu.
Siku hiyowatu tulinunua karanga tukapiga na chai ya pila majani ya chai tukaala, siku ikapita.
Najua ulikuwa unapenda sana hio kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nah! Halafu sikuwahi kuingia kule..Najua ulikuwa unapenda sana hio kitu
Ha ha ha haNakumbuka vijana walikua hawakauki pale kenyata domitory kuwinda wape watoto wa kike. Ile ya maswa watu waliomba kwenda tena wakakubaliwa. Watu wakajikoki wakabeba mpaka ndomu kabisa. Kufika kule hakuna cha disco wala debate, hakuna aliyeambulia hata kushika mkono wa mtoto kike
Hukuwahi kuingia wakati ulikuwa bingwa wa kupiga picha kwenye ile miamba ya ziwani??Nah! Halafu sikuwahi kuingia kule..
DahDaniel ole Njolay! Yupo hapa Arusha siku hizi, retired and tired.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tusiumbuane basiiiHukuwahi kuingia wakati ulikuwa bingwa wa kupiga picha kwenye ile miamba ya ziwani??
We si unapajua mpaka Mihama kule kote??
YapKatara ndo lilikua school bus letu, chigugu si ndo yule doctor. Hata ukiwa unaharisha unapewa panadol. Kuna watu kidogo wafukuzwe kisa wanaenda kungalia moira kwakr usiku
Ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tusiumbuane basiii
Jiwekuu....
Hahahahha! Haina neno.Ha ha ha ha
asee siku moja uje uende kutoa shukrani kwa shule yako uliyosomea aiseee
Usiisahau bana.
Hii picha imenikumbusha mbali sana. Nakumbuka kuna kipindi tulienda kucheza mechi na nsumba ukatokea ugomvi. Watu ambao hawakua na nauli walitembea kutoka nsumba mpaka bwiru kwa mguuYap
Katara likuwa lile gari la kubebea kuni.
Ndio mlikuwa mkienda hata Nganza huko mnarundikwa humo, lilikuwa na maandishi yameandikwa Chunga maisha.
Hili si ndo mlikuwa mwaenda nalo kuchota maji??? Nakumbuka ndo mkweche mlofanya nao ghasia ya ndomu.Yap
Katara likuwa lile gari la kubebea kuni.
Ndio mlikuwa mkienda hata Nganza huko mnarundikwa humo, lilikuwa na maandishi yameandikwa Chunga maisha.
Ngoja nikutafutie picha ya Girls nikuletee hapa.Hahahahha! Haina neno.
Ha ha ha ha haHili si ndo mlikuwa mwaenda nalo kuchota maji??? Nakumbuka ndo mkweche mlofanya nao ghasia ya ndomu.
Aisee!Ngoja nikutafutie picha ya Girls nikuletee hapa.
Mombasa hio