Hujaacha bado, upo kwenye short breakNimeacha punyeto tangu jana. Shetani shindwaaaaaa...
Vibaya hivo uanikatisha tamaa. Kuanzia leo nikipata hamu ya kufanya nachukua kitabu naanza kuimba mapambioHujaacha bado, upo kwenye short break
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Hahaa; unahisi ndio dawa hyo?Vibaya hivo uanikatisha tamaa. Kuanzia leo nikipata hamu ya kufanya nachukua kitabu naanza kuimba mapambio
Mimi nimetangaza kuacha leo Namna ya kuweza kuacha @SELFIE [Masturbation]Adjee adjeee wakuuu
Mimi ni katibu mwenezi na itikadi wa CHAPUTA na ningependa wanachama wenzangu tushirikishane njia bora za kujiliwaza kwa punyeto huku ukiwa una uhakika wa kuwa hauwezi kupata madhara yanayosemekana husababishwa na punyeto..
Wanachama mnakaribishwa kwa michango yenu
Nipo nasubiri michango yenu
Kabisa. Na ukiwa busy hukumbuki. Nimeamua kuwa busy tuuu..leo niko busy balaa! Ha haaaHahaa; unahisi ndio dawa hyo?
Mi nimegundua tabia ya kupenda kukaa peke yako inachangia sana
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Hahaa ubuzy unasaidia piaKabisa. Na ukiwa busy hukumbuki. Nimeamua kuwa busy tuuu..leo niko busy balaa! Ha haaa
Ha haaa niko peke yangu lkn kazi ninayoifanya hapa hainipi hiyo chance. Tatizo nikikaa kitandani hlf nikashika simu dah shetani lazima aje.Hahaa ubuzy unasaidia pia
Ila anagalia kama upo peke yako hapo usije ukajifatua kimoja
Manake ile akili ikija unaweza kuacha mambo ulokuwa unafanya ukajiselfie
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Yuko wengi hapoHa haaa niko peke yangu lkn kazi ninayoifanya hapa hainipi hiyo chance. Tatizo nikikaa kitandani hlf nikashika simu dah shetani lazima aje.