Wale wa chaputa, tushirikishane njia bora za kupiga punyeto bila madhara

Wale wa chaputa, tushirikishane njia bora za kupiga punyeto bila madhara

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Adjee adjeee wakuuu
Mimi ni katibu mwenezi na itikadi wa CHAPUTA na ningependa wanachama wenzangu tushirikishane njia bora za kujiliwaza kwa punyeto huku ukiwa una uhakika wa kuwa hauwezi kupata madhara yanayosemekana husababishwa na punyeto..
Wanachama mnakaribishwa kwa michango yenu
Nipo nasubiri michango yenu
 
Ushaathirika vya kutosha mpaka hapo...unahitaji maombi

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Adjee adjeee wakuuu
Mimi ni katibu mwenezi na itikadi wa CHAPUTA na ningependa wanachama wenzangu tushirikishane njia bora za kujiliwaza kwa punyeto huku ukiwa una uhakika wa kuwa hauwezi kupata madhara yanayosemekana husababishwa na punyeto..
Wanachama mnakaribishwa kwa michango yenu
Nipo nasubiri michango yenu
Mimi nimetangaza kuacha leo Namna ya kuweza kuacha @SELFIE [Masturbation]

Hapo kabla mimi ndio nilikuwa Mwenyekiti wa CHAPUTA

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Kabisa. Na ukiwa busy hukumbuki. Nimeamua kuwa busy tuuu..leo niko busy balaa! Ha haaa
Hahaa ubuzy unasaidia pia

Ila anagalia kama upo peke yako hapo usije ukajifatua kimoja

Manake ile akili ikija unaweza kuacha mambo ulokuwa unafanya ukajiselfie

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Ha haaa niko peke yangu lkn kazi ninayoifanya hapa hainipi hiyo chance. Tatizo nikikaa kitandani hlf nikashika simu dah shetani lazima aje.
 
Back
Top Bottom