Wale wa Civics njooni tupige maswali hapa

- Waziri Mkuu wa UK na Queen Elizabeth nani ni ceremonial? Nani ni executive?
Unachanganya madesa. Swali dogo: Who is the head of state? Sasa, head anawezaje kuwa ceremonial?

Kwa maneno mafupi yenye akili zake timamu ipo hv: UK inamilikiwa na Queen. Upo baba?!
 
- sijachanganya madesa ww ndiyo huelewi, Mimi nilikuwa Niko specific kabisa kuwa kati ya prime minister na queen Elizabeth nani, ni executive na nani ni ceremonial?
 
Hahahaha jibu ni A.

Au nikupige shule kidogo?

Twende hv:

Head of state ni Queen / King

Excutive ni Prime Minister

Sasa, A inasema Prime anakuwa just head of state ile ceremoniusly. Hapa hajasema kuwa executive

B inasema King or Queen anakuwa head of state just ceremoniusly.

So, B is completey wrong.

Huenda, utakuwa hujui maana ya neno 'ceremonial'
 
--unachoshindwa kuelewa, ni haya maneno mawili, ceremonial na Executive,
- Kwa Muundo wa kifalme/ malkia Waziri Mkuu ndio mtendaji wa Shughuli zote i.e ana executive powers, kulinganisha na mfalme/ malkia ambaye cheo chake kipo tu ceremonially na ndiyo Mkuu wa nchi, mfano Uingereza, Ubelgiji, Japani nk
 
We jamaa unaonyesha hii elimu yetu ina shida sana ama english ni shida sana kwa watanzania.

Sasa, umeandika nini hapa mbona unajikanganya mwenyewe.

Tofautisha maana ya utendaji na kuwa mkuu.

Tuje kwetu tz:

Waziri Mkuu ndiye mtendaji (executive), Rais ndie mkuu (head) wa nchi.

Twende kwenye mpira:

Mfano, Simba SC Barbara ndie Executive lakini Mkuu ni Mo Dewji.

Sasa, unavyoambiwa mkuu ni ceremoniusly mkuu (head) maana yake nini? Hata hai make sense kabisa.

Lakini, ukiambiwa executive ni ceremoniusly head (mkuu) yes ina make sense. Yaani, sawa na kusema waziri mkuu ni mkuu kivuli wa nchi yes it make sense lakini kusema Queen / King ama President ni mkuu kivuli hata hai make sense hata kidogo.

Trust me: Wewe hujui maana ya kuwa 'ceremonial' na hapa ndipo unapochanganyikiwa. Pole sana.

Screenshot_20220811-085321-01.jpeg
 
View attachment 2320681
- hujasoma Constitutional Law Inaonekana, unachanganya concept, hujui kwa nini Wafalme walinyan'ganywa Executive powers, wakabakia na Kuwa Wakuu wa nchi,
-Kuwa Mkuu ni tofauti na kuwa mtendaji (executive), Queen wa Uingereza ni Head na ceremonial rank, hafanyi shughuli yoyote ya Kila Siku ya Utendaji inayohusu Serikali ya Uingereza, bali anayefanya shughuli za kila siku za serikali ya Uingereza ni Waziri Mkuu, Waziri Mkuu ndiye anayeitetea serikali yake akiwa Bungeni na ikiwezekana hata kujiuzulu au kufukuzwa na Bunge la Uingereza, i.e anawajibishwa na bunge na anawajibika Kwa bunge la Uingereza, Hata Hapa Tanzania kabla ya Uhuru kulikuwa na Cheo kinaitwa Govana Jenerali, ambaye hakuwa na mamlaka ya Utendaji bali Utendaji wa Shughuli za kila siku Ulikuwa Kwa Waziri Mkuu wa kipindi hicho.
-Mifano uliyoitoa ya Kuhusu Waziri Mkuu wa Tanzania na Babra wa Simba,hautumiki kwa sababu utakuwa umetoka kwenye spirit ya hoja yetu ambayo ni constitutional monarchy hivyo mifano Yako ilitakiwa iwe ya mataifa yanayoongozwa na Muundo wa kifalme eg Japan, Belgium,UK nk, BTW Rais wa Tanzania ni Rais mtendaji kwa sababu ya Katiba yetu imempa kofia ya tatu ya Mkuu wa nchi,Mkuu wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu
-Badi unachanganya Concept za Ceremonial na executive, Katiba ya Uingereza haijampa mamlaka yote Queen bali imempa mamlaka ya Kuwa Mkuu wa nchi tu, lakini all executive Powers ziko Kwa prime minister, Katiba ya Uingereza hailundika mamlaka yote Kwa Queen Elizabeth Bali yeye ni Mkuu wa nchi tu na ceremonial rank Hana executive powers
- ingia Wikipedia andika Constitutional monarchy, Soma angalia kama queen Elizabeth ana executive powers, bali utakuta tu ana Cheo cha Mkuu wa nchi.
 
Hujui kitu wewe huyo jmaa yupo sahihi

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Asikokuelewa hapa ana shida kichwani

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
--unachoshindwa kuelewa, ni haya maneno mawili, ceremonial na Executive,
- Kwa Muundo wa kifalme/ malkia Waziri Mkuu ndio mtendaji wa Shughuli zote i.e ana executive powers, kulinganisha na mfalme/ malkia ambaye cheo chake kipo tu ceremonially na ndiyo Mkuu wa nchi, mfano Uingereza, Ubelgiji, Japani nk
SoMo la civics limevamiwa makada wanalazimisha kufundisha somo wasilolimudu.
Hakuna topic rahisi form two kama GOVERNMENT.

Back
Top Bottom