Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
6year plusMimi sio mpenz wa EPL ila Man City bado kombe hili atalishikilia sana. Man City anabeba hii ndoo tena.
Ngoja uone...Chelsea hamna kitu
Show show ,ngoja uone...Mtoe Chelsea mkuu timu mbovu hiyo acha mahaba ndindindi
Mkuu facts za kimpira ntazitolea jukwaa la arsenalArsenal hana upepo huo
Mnajipa moyoNgoja uone...
Toa hapa tukuchambueMkuu facts za kimpira ntazitolea jukwaa la arsenal
Ndipo utakapo elewa namaanisha nini
Kwa kifupi sisi safari hii tumekuja kulipa hasira za boss wetu Roman,kupokonywa klabu yake na matapeli wa England...Mnajipa moyo
Bado sana mnasafari ndefuKwa kifupi sisi safari hii tumekuja kulipa hasira za boss wetu Roman,kupokonywa klabu yake na matapeli wa England...
Eti ndo hiyoChelsea hi hi mbovu yakina pason pount pie pavertz
AiseeSterling ndo star wao kweli jamani!
Star ana kichuguuSterling ndo star wao kweli jamani!