Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

NATABIRI
Liverpool itakua na msimu mbovu sanaaa 2022/2023 kuanzia mechi ya Community shield itakayopigwa 30/07 City atamnyuka nyingi tu Majogoo lakini pia EPL ikianza anaweza kushinda mechi mbili za kwanza ila ya3 ni kipigo au droo enewei top 4

City
Liva.
Chelsick
Man U
 
Back
Top Bottom