Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo usahihi wake uko wapi na ligi haijaanzaWewe ndo uko sahihi
Msimu mbovu ndo ashike nafasi ya pili, Mimi nikajua utamuweka nafasi ya kumi kuthibitisha maneno yakoNATABIRI
Liverpool itakua na msimu mbovu sanaaa 2022/2023 kuanzia mechi ya Community shiel itakayopigwa 30/07 City atamnyuka nyingi tu Majogoo lakini pia EPL ikianza anaweza kushinda mechi mbili za kwanza ila ya3 ni kipigo au droo enewei top 4
City
Liva.
Chelsick
Man U
Kila mtu amkoti mwenzake maaana Kuna mabingwa wa kubadili gia angan1- Man City
2- Liverpool
3- Tottenham Hotspur
4- Arsenal
N.B Man Utd watakuwa wa 7/8!
Ukiacha man city ni big six gan mwingine alitufunga?Chelsea mnastruggle xna ukiacha spurs ni big 6 gani mwingine mlimfunga!
Umetabiri vyema Sana Ila hii comment ntaitunza...NATABIRI
Liverpool itakua na msimu mbovu sanaaa 2022/2023 kuanzia mechi ya Community shiel itakayopigwa 30/07 City atamnyuka nyingi tu Majogoo lakini pia EPL ikianza anaweza kushinda mechi mbili za kwanza ila ya3 ni kipigo au droo enewei top 4
City
Liva.
Chelsick
Man U
Haichukiwi ni mbovuHivi kwa Nini Chelsea inachukiwa ???
Labda west hamKuna huyu Dogo akiacha ujinga ,anaweza ingia. Top 4, naye si mwengine ni Leicester city.
Hamna timu hapoSiyo mbovu kama unavyofikiria[emoji16]
Chelsea mtoe hapoMan City
Chelsea
Liver
Totte.
Nketiah na hammersUkiacha man city ni big six gan mwingine alitufunga?
Liverpool hawezi kumaliza nafasi ya pili .Man cty
Liverpool
Chelsea
Spurs
Spurs attachallenge ubingwa1- Man City
2- Liverpool
3- Tottenham Hotspur
4- Arsenal
N.B Man Utd watakuwa wa 7/8!
Asa wewe ndo nini hichoTotenham
City Chelsea
Arsenal
Liverpool
Man u nafasi ya 8