Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Bado Arsenal cmpi nafasi mkuu. Ana mechi ngumu kuliko City na ukiangakia pengo la point c kubwa sana kikubwa kinachonopa iman kuwa hatochukua ana game na city
Yaan game alizocheza zote huko ni rahisi, ila hizo game 9 zilizobaki ndo ngumu kweli kweli.
Nadhani sio haki kuchambua kwa namna hii. Hata kama hatupendi Arsenal iwe bingwa. Tuwape heshima yao kwa kuwapa nafasi wao kwanza labda itokee vinginevyo.