Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

Wale wa EPL tabiri top 4 yako mapema ukianza na bingwa!

Yani kuna vibwengo wanasema arsenal anabeba ndoo!!!!!!.
Kweli duniani maajabu hayaishi
 
1- Man City
2- Liverpool
3- Tottenham Hotspur
4- Arsenal
N.B Man Utd watakuwa wa 7/8!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom